Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,431
- 7,954
Haki ya Mungu umepindika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maoni yangu ang'atwe na wale umbu wa Viagra waliotoroka huko China Wuhan
Huyu mi siwezi kuamini ya kuwa Hana dudu😂
Ni mwanamke lakiniHuyu mi siwezi kuamini ya kuwa Hana dudu[emoji23]
Bring her geto but I need fbi security when things change I don't want to hear this slogan "mwana kulitafuta mwana kulipata" 🤣🤣
Nasikia wanawake wenye NDEVU (japo huyu kwa picha zimezidi mno) ni watamu sana na pia wana bahati etiMaoni yangu ang'atwe na wale umbu wa Viagra waliotoroka huko China Wuhan
Nasikia wana bahati hao yaani Kama unaye, wewe mambo yako yanakunyookea tuu na yeye hivyo hivyo[emoji3][emoji3][emoji3]Kuna Binti mmoja jirani yangu ni mzuri sana, hajaolewa, ila uwezi amini moja ya sababu yangu kuu iliyofanya nisimkubali wala kumshobokea ni baada ya kuona ana midevu na anapenda kuichia bila kuinyoa.
Bora niendelee kusikia..🤣Nasikia wanawake wenye NDEVU (japo huyu kwa picha zimezidi mno) ni watamu sana na pia wana bahati eti
Ni imani yako tu wala hakuna ukweli.Nasikia wana bahati hao yaani Kama unaye, wewe mambo yako yanakunyookea tuu na yeye hivyo hivyo[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] unadhani anazo mbili?Bring her geto but I need fbi security when things change I don't want to hear this slogan "mwana kulitafuta mwana kulipata" [emoji1787][emoji1787]
Si unajua dunia tambala bovu Sasa usiombe likuchanikie!.
Yalikuwa na chuchu?Kuna jamaa nilisoma nae alikua ana matiti madoogo.
MtajeAnafanana na mdada fulani hapa JF.