Teh teh embu ni PM mie ninzo bt kuwa mme na mke hapana lol!!
njoo pm....pia kifuani ninazo...ila nyetini sina
Mi nna ndevu na Mustach, pia nina nywele za kifua sijui ndo mnaita garden love.... huwez kunifikiria mkuu?
Teh teh embu ni PM mie ninzo bt kuwa mme na mke hapana lol!!
njoo pm....pia kifuani ninazo...ila nyetini sina
MPM sifa unazo,huo mustach ni kama wa Hitla?
Unataka uwe mchepuko?
hutaki ndoa, unataka muwe 'mgegedo-partners' tu eeh? teh teh teh. we mdada safi sana. nitakunong'oneza kitu PM.
Nyeti zipo mbili,fafanua mkuu.
Mi nna ndevu na Mustach, pia nina nywele za kifua sijui ndo mnaita garden love.... huwez kunifikiria mkuu?
Yuko mmoja namfahamu, tena sio ana vijindevu tu, bali na sharafa anazo ila hii dili ina utata; sijui kama atakuwa na uthubutu!