Mwanamke mwenye mtoto!

Mwanamke mwenye mtoto!

Hakuna binadamu aliyekamilika... wapo waliooa mabikra lakini hizo ndoa hazitamaniki...

Kuna jamaa alikuwa ananiambia ukioa kahaba ndio mzuri maana akiamua kutulia atatulia kweli kweli.
 
Problem shared-problem solved. Kwani hapa nahitaji uamuzi au mawazo? We kazi yako kutoa hoja maamuzi ni yangu.

heee unaeza ukapewa mawazo mengi tu ila yatakua bure kama ww hautakua na uamuzi binafsi,kumbuka pia kuna mawazo ya kubomoa na kujenga kwa hiyo kazi ni kwako!bwana alaah
 
Kuna jamaa alikuwa ananiambia ukioa kahaba ndio mzuri maana akiamua kutulia atatulia kweli kweli.

Anakudanganya... hawezi amua kutulia cz kwake ngono ndio suluhisho la matatizo madogo madogo. .. ambayo kwa kawaida hayaishi home...
 
achana nae huyo demu hafai hata kumfanya house girl.
 
Dah..moyo unapondeka..

Mkuu wasikutishe sana. Mimi binafsi niliolewa na tayari nilikuwa nimeshazaa mtoto 1. Na ndoa yangu sasa ina miaka 10 na kwenye ndoa nina watoto 2 na tunaishi na mume wangu vizuri kabisa bila matatizo yoyote. Ila wewe kama mwanaume ndiye unatakiwa kuonyesha msimamo zaidi kama kweli huyo bidada anakupenda kweli na anatakiwa kuweka mipaka kati yake na huyo baba mtoto.
Na ni vizuri mtoto akibaki kule kwa baba yake kama mahitaji yote anayapata hiyo itakusaidia wewe maana akitaka kwenda kumuona mtoto mtakuwa mnaenda wote na huyo baba mwingine hatapata nafasi ya kuja kwako kwa kisingizio cha kumuona mtoto wake.
 
Wakuu salaam.

Husika na kichwa cha habari hapo juu, pasi na kutoa kisa kirefu naomba mnisaidie kwa kujibu swali hili: Kuna tatizo gani kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine, na huyo mwanaume hajafa..na mtoto pia yupo ila yupo kwa baba yake?

NB: Mwanamke anasema kwa mwanaume huyo hakuna future na sio mtu ambaye anaweza kuishi naye. Anafanya mpango wa kumchukua mwanae na ikishindikana basi atamuacha huko..akiwa mkubwa atatamtafuta. Mpaka sasa watu wa upande wa baba wa mtoto hawataki mtoto achukuliwe.
Mwanamke mwenye mtoto nae anahaki ya KUPENDWA kma mwanamke mwengne na ipo possibility kubwa yakukuheshm maisha yote kwakua atakua anajua jns gani umejitoa kwake! na mambo yakikumbushia hayapo kwakua wametangana wakiwa na sababu za mcng!!!!
 
heee unaeza ukapewa mawazo mengi tu ila yatakua bure kama ww hautakua na uamuzi binafsi,kumbuka pia kuna mawazo ya kubomoa na kujenga kwa hiyo kazi ni kwako!bwana alaah

We nae...
 
Mkuu wasikutishe sana. Mimi binafsi niliolewa na tayari nilikuwa nimeshazaa mtoto 1. Na ndoa yangu sasa ina miaka 10 na kwenye ndoa nina watoto 2 na tunaishi na mume wangu vizuri kabisa bila matatizo yoyote. Ila wewe kama mwanaume ndiye unatakiwa kuonyesha msimamo zaidi kama kweli huyo bidada anakupenda kweli na anatakiwa kuweka mipaka kati yake na huyo baba mtoto.
Na ni vizuri mtoto akibaki kule kwa baba yake kama mahitaji yote anayapata hiyo itakusaidia wewe maana akitaka kwenda kumuona mtoto mtakuwa mnaenda wote na huyo baba mwingine hatapata nafasi ya kuja kwako kwa kisingizio cha kumuona mtoto wake.

Asante sana mkuu.. Umeshapata changamoto gani ulizoziona ni ngumu mpaka sasa?
 
Mkuu fuata ushauri wa Ndeye hapo juu,
Uzoefu ni Mwalimu Mzuri.

Kwa hakika umenivutia..japo kila mtu anatoa ushauri kulingana na uzoefu wake au wa mtu mwingine. Nilichojifunza ni kuwa haya mambo hayana formular..sijui niseme ni bahati nasibu..mmmh!!
 
Single mothers ha2aminiwi cjui kwa nin maskini,inaniuma sana,being a single mom is a chalenging task,please marry her if u do love her and learn 2 trust her,...good lucky bro'
 
Asante sana mkuu.. Umeshapata changamoto gani ulizoziona ni ngumu mpaka sasa?

Kwa sasa hamna ugumu wowote. Ila pale mwanzoni nilipata tabu kidogo kuwa mbali na mtoto na bahati nzuri alianza kuishi na babayake akiwa na 8yrs na alikuwa na uwezo wa kuja home mwenyewe kututembelea hiyo pia ilisaidia kutokuwa na mawasiliano na ukaribu na huyo baba yake na mpaka sasa yupo form I. Kwa hiyo sina sababu ya kuwa na mazoea ya karibu na babayake tumebaki kuheshimiana na huwa hatuoanani mtoto anatosha.
 
Maswali magumu kweli. Sina hata jibu la moja kwa moja. Ila je kama case zote zitatokea na asiende wala kujishughulisha nayo tuiteje?

Ndogo jaribu kufikiria sana kinachomfanya amakatae mzazi mwenzio ndicho hicho kitakachomfanya akukate wewe...
Hakujua kuwa kutakuwa na tofauti ya dini hapo baadae mpaka leo kumuona kuwa hafai?
Je wazazi wako waliowana wakiwa na watoto njee ?
Ungelikuwa wewe ndio mwanaume huo unsengenywa na mzazi mwenzio kwa mwanaume mwingine ungelichukuliaje wakati mumeshazaa na kuishi pamoja zaidi ya miaka mpaka mtoto ana miaka mitano?
Siyo kila kitu uambiwe wanawake ni viumbe unique ataapaa kuwa hata usipomoa hatakubali kukaa na huyo mwanamke lakini kumbuka ni wepesi wa kusamehe pia?
 
kwa nini tunawaonea wanawake? kwahiyo na wanaume wenye watoto kabla ya kuoa hawafai?
 
Single mothers ha2aminiwi cjui kwa nin maskini,inaniuma sana,being a single mom is a chalenging task,please marry her if u do love her and learn 2 trust her,...good lucky bro'

Thank you very much..
 
Kwa sasa hamna ugumu wowote. Ila pale mwanzoni nilipata tabu kidogo kuwa mbali na mtoto na bahati nzuri alianza kuishi na babayake akiwa na 8yrs na alikuwa na uwezo wa kuja home mwenyewe kututembelea hiyo pia ilisaidia kutokuwa na mawasiliano na ukaribu na huyo baba yake na mpaka sasa yupo form I. Kwa hiyo sina sababu ya kuwa na mazoea ya karibu na babayake tumebaki kuheshimiana na huwa hatuoanani mtoto anatosha.

Asante sana kwa uzoefu huu. Umenifundisha kitu.
 
Back
Top Bottom