M.E.M.A
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 1,373
- 472
- Thread starter
- #161
Ndogo jaribu kufikiria sana kinachomfanya amakatae mzazi mwenzio ndicho hicho kitakachomfanya akukate wewe...
Hakujua kuwa kutakuwa na tofauti ya dini hapo baadae mpaka leo kumuona kuwa hafai?
Je wazazi wako waliowana wakiwa na watoto njee ?
Ungelikuwa wewe ndio mwanaume huo unsengenywa na mzazi mwenzio kwa mwanaume mwingine ungelichukuliaje wakati mumeshazaa na kuishi pamoja zaidi ya miaka mpaka mtoto ana miaka mitano?
Siyo kila kitu uambiwe wanawake ni viumbe unique ataapaa kuwa hata usipomoa hatakubali kukaa na huyo mwanamke lakini kumbuka ni wepesi wa kusamehe pia?
Hawajawahi kuishi pamoja mkuu. Ni ajali tu za ngono hizo. Kikubwa alichoniambia ni kuwa pamoja na tofauti hizo za kidini hampendi jamaa...na hajui ilikuwaje kuwaje. Hayo mengineyo ngoja nishushe pumzi..!