Mwanamke mwenye mtoto!

Hakuna ubaya wowote uliopo kuoa mwanamke mwenye mtoto maadamu mnapendana.

Lakini mwenye mtoto ataendelea kugegeda mamatoto kama zamani.

Kama hiyo siyo shida kwako, basi unaweza kumuoa huyo mama mtoto.

not necesary kama mwanamke anajielewa sio lazima agegedwe na ex wake.
 
Mmmmh ila mkuu hamna wanawake walioachwa na watoto wao wanatanga tanga tu.. na ukiwauliza wanakuambia walibeba mimba ili kuwanatisha wapenzi wao!!. Ila pia watoto ni majaliwa ya Mwenyezi..

sure mkuu nakubaliana na ww a woman use sex to get love while a man use love to get sex
 

hahaha mkuu mbona unaonekana unahofia sana perfomance ya kitandani??
 
Mimi siamini katika kufanya mapenzi kabla ya ndoa. haya yoote yanatokea kwa sababu watu wanakimbilia kufanya mambo ya ndoa kabla hawajaingia katika ndoa.
Kwakifupi, uzinzi ndio chanzo cha yote hayo. watu tunatakiwa tuache uzinzi.

sure mkuu ila to some circumstances uzinzi is necessary.
 
dah sipati picha mtoto akiumwa then bibie anakutana na zilipendwa wake.hapo lazima wakumbushie!
 

Nakuomba kijana achana na huyo mwanamke soon,sababu zake za kumwacha huyo jamaa yake aliemzalisha niza kipuuzi sana,ETI HANA FUTURE! Hata wewe hapo ulipo unaweza kupata matatizo makubwa na ukashindwa hata kujihudumia na ukategemea watu nawe atakwambia huna future na atakuacha.Je,yeye mwenyewe hiyo future anayo?? Huyo mtu kamgegeda mpaka kampa mimba na mtoto kakua ndio anamwona hana future?? Mwanamke akikupenda jitahidi ujue anakupendea nini?? Pesa,handsome au nini?
 

Kaka hapo sentensi ya mwisho hapo!!!!!!
Wengi hujiona wanazali tu au sijui kujiona handsome sana!!!!!!
 
kama mnapendana kwa dhati hakuna tatizo lolote coz kuna baadhi ya wanawake hawana watoto but wanakuwa na mahusiano ya siri na wanaume waliowahi kutembea nao suala la msingi ni kujitambua.
 
Mtoto ni jinsia ya kike miaka mitano. Future anayoisemea ni tofauti za kidini na mengineyo ambayo hayaelezeki. Kipato yule mwingine yupo juu kuliko mimi.

mhhh its so complicated jamani!kwan lazima umuoe bana mbona hichi kisa chako hatarii!!!kwani ww moyo wako unasemaje juu ya hili mkuu?
 

Acha kuharibu mapenzi ya watu.Nadhani wewe ndio sababu ya huyo mwanamke kumdharau mme wake.Tafuta wako.
 
Asante sana mkuu. What a powerful advice. Be blessed.

naona umefurahia hapo juu,,,,,,,,,,

na mimi naongezea furaha yenu katika maisha ni jukumu lenu nyie wawili na siyo outsiders wapewe nafasi..........

mnapendana , mpo na furaha,,,,,,,,,, songesheni maisha yenu.
 
mhhh its so complicated jamani!kwan lazima umuoe bana mbona hichi kisa chako hatarii!!!kwani ww moyo wako unasemaje juu ya hili mkuu?

Hata sielewi mkuu...
 
Mie sioni shida...........kama mnapendana

Hata mi sioni shida. Tatizo naona ndugu wengine wanatumia nguvu nyingi kuona tunaachana. Na wengine wameshatangaza kutokuahirikishwa wala kushiriki lolote. Ndio maana ikabidi niwaulize wadau huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…