Mwanamke mwenye mtoto!


Mentor katika hali hii ni lazima kuwaza yale magumu kabisa na ukiyapatia japo wazo la jinsi ya kutatua basi unakuwa in a better position kuliko kuchukulia inawezekana bila hata ya kuwa na mtazamo halisi!!!!!

Kwa nini kumkatisha tamaa???!! Mimi namshauri vile mimi ningefanya mkuu ni kawaida yangu kufikiria ule upande hatarishi ili yasipotokea basi unaishi bila shida,ni sawa tu na kiweka akiba bank ukipata shida itakusaidia usipopata shida unageuza saving kuwa mtaji off you go!!!!!!

Hivi mkuu unajua mauaji mengi ya mapenzi husababishwa na "third" party zaid kuliko wapenzi wenyewe????!!! Sasa kunapokuwa na open potential tahadhari lazima iwe kubwa!!!!
 
Last edited by a moderator:
lakin akumbuke kitukimoja kuwa mtaliki hatongozwi ila wanakumbushiana tu..... Na mtoto huwa ni kiunganishi cha wazazi.( ni kitu niliwahi kukishuhudia kwa macho yangu) kama huyu mweshimiwa kafungua moyo basi aweke ndani tu

Lakini pia sio kiunganishi. Kuna waliobeba mimba ili waunganishwe na haikuwa hivyo...na haijawa.
 

Oa tu na akiamua kuolewa na mtu wa tatu mwenye future kuliko wewe let her go, na ikiwa mtabahatika kupata mtoto usiige mfano wa mtangulizi wako wa kukataa kuachia mtoto, mruhusu tu aondoke na mwanao ili akalelewe kwenye future zaidi!
 

Hhhhmmm...
 
Oa tu na akiamua kuolewa na mtu wa tatu mwenye future kuliko wewe let her go, na ikiwa mtabahatika kupata mtoto usiige mfano wa mtangulizi wako wa kukataa kuachia mtoto, mruhusu tu aondoke na mwanao ili akalelewe kwenye future zaidi!

Ila mkuu huyo aliyezaa naye hawakufunga ndoa.
 
No wonder.....ngoja nirudie ile sred yetu labda I will understand.

Ha haha haaaaa haya leta mrejesho!!!!
Uhalisia ndio mpango mzima ujue mambo ya hny trust me sijui bebi unaniamini na kama hayo ni volatile!!!!!
 
Ukipitia hizo post nyingine utajua kwa nini nimeuleta huu uzi. Kusifia kitu kuwa kizuri haina maana kuwa ndio unakichukua.

Nimepitia kila post yako na zile za wachangiaji, na ukweli ni kwamba sijapata jibu. Ila kwa kuwa mimi ni mtu mzima, na mwenye uzoefu na mambo ya mahusiano (specifically ndoa) kwa zaidi ya muongo mmoja, naweza kuelewa bila hata kuhitaji jibu lako.

Ndiyo maana nikakuomba usijibu ila ufanye internal reflection (ikiwezekana fanya meditation) ili upate jibu ndani ya moyo wako. Ukiweza kujijibu swali hili, "kwa nini nimeuliza maswali haya"? Basi utakuwa umeshinda....Na babu keshakupa baraka zote usonge mbele!
 
lakin akumbuke kitukimoja kuwa mtaliki hatongozwi ila wanakumbushiana tu..... Na mtoto huwa ni kiunganishi cha wazazi.( ni kitu niliwahi kukishuhudia kwa macho yangu) kama huyu mweshimiwa kafungua moyo basi aweke ndani tu

^^
Huyu mheshimiwa hatua aliyopo, anapaswa kushauriwa kwa hadhari.
^^
 

tufanye ndio nimekujibu on his behalf..what next??!
 
Last edited by a moderator:
Huna mambo mengine ya kufanya hadi unawaza kuoa? Hebu fikiria investments zingine bwana usichoshe akili na stress za kila siku.
 
Shkamoo Babu DC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…