Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
Duuuh pole sana mkuu kwa upitiayo
Kweli umeathirika kisaikolojia maana umeandika maneno mengi lakini hayaeleweki...




Wengi wangefurahia kero za hawa viumbe bas.
Habari za sasa wakuu!
Natumai mnaendelea vyema na mchaka mchaka wa hii serikali ya magu kama alivyosema hapa kazi tuu so ni kazi kweli hakuna kujali.
Dhumuni la kuja hapa wakuu ni kuomba msaada baada ya kuona hali inazidi kuwa mbaya baada ya kufuatiliwa na binti anaesumbua sana hapa nchi pengine na dunian kwa ujumla sababu ya upekee wake.
Wakuu huyu binti alinitafuta toka mda mta ila mimi sina mda nae coz ni kuda tuu huyu hawez nisaidia lolote.
Mimi huyu dada simtak kwan hana lolote zaid ya unafiki tuu na kwa sababu anajua simpendi so kaamua kunikaba kila eneo. Sio chuoni, mtaani, social networks an namba zangu zote za simu yani lengo lake ni mimi niwe mpenzi wake sasa mimi sitaki sababu sina love nae kwangu ni choko tuu.
Akaona nimeamua kuiblock hii mitandao akaamua aje kwenye namba zangu za simu sasa huko kavuruga kabisa yani sasa hivi sifanyi mawasiliano kwa amani kabisa. Na kuona hilo halitoshi kaweka watu watu wake mitaa nayopitaga ili azma yake itimie ila mimi sitaki kabisa hayo mahusiano.
Wakuu mara nyingi mahusiano yanayoanza bila love huishia pabaya yani hakuna kitu kibaya kama kulazimisha upendo, wahenga wanasema upendo haulazimishwi bali ni kitu ambacho ni automatic, na will ya mtu. Nachukia sana usnitch na unafiki kwa ujumla, Mimi kama siwezani na wewe nakuchana mapema ila baadae usije niona mbaya kwako.
Baada ya mimi kuacha chuo kwa sababu huyu binti basi kaamua kuja kupanga karibu na chumba changu kabisa.
Baada ya kupanga ikawa anatupa vijembe moja kwa moja sasa as long anatimiza azma yake. Maneno yake ni makali sana nimeshindwa kabisa kuishi kwa amani.
Mnyama nikaona sio shida nikaamia nyumba nyingine sasa baada kuona nimehama ndo akaamua awe anakaa hapo nje kwao anipe vijembe kabisa na vinafika kwa sababu anapayuka kama yake maspika ya CCM kipindi cha uchanguzi mkuu.
So sina jinsi kwa kila napoenda yeye yupo.
Naskia saiz ameamua ategeshe na vifaa kabisa ili unifatilie vzur na kutrack kila move nayofanya.
Lakini kwanini hivi kwani mpaka umdhalilishe mtu? maybe yawezekani kilio changu ni furaha kwako, unajua mwenyewe.
As long as anatumia watu wake waniipige vijembe huko JF coz anajua mahali napopenda kukaa mimi nimeona kero naombeni mnisaidie. Huyu mwanamke ni fala sana pamoja na wadau naosoma nao hapo chuo yani mwana unaetegemea akupige tafu nae anakua mstari wa mbele kuhakikisha kidume unaishi maisha ya huzuni tuu, Wakuu mara mia usalitiwe na wanawake lakini sio wana yani kidume mwenzio unategemea yani awe akusevu yani anatemea kimyya kimya halaf mkikutana inakua shangwe kinoma kumbe snitch tuu, nishawahi kumia ila sio hivi. Na kama haitoshi baada ya maticha kujua sina mda nae wakaanza kunisema vibaya kimafumbo, daa maneno ni mabaya sana wakuu niliamua kuacha chuo kiroho safi tuu haina mbaya maisha yapo kwa rizki ya Mtu Mungu ndie anaetoa na sio binadamu. Yani nikipanda daladala lazima nikute mtu mmoja au wawili wakinisema vibaya kimafumbo.
Nimeamua kuachana na chuo sababu ya huyu mwanamke coz mwishowe sijui nitaishia wapi.
Kafanikiwa sana kutimiza azma yake kila sehemu kafanikiwa.
Nilikerereka sana alipoanza kufatilia mawasiliano yangu ya simu. Ni jambo baya sana kuingilia privacy ya mtu. utalalamika wapi? kwenye makampuni ya simu? huo ushahidi unao?
Sijawahi ona mwanamke mbaya kama huyu hii dunia. Mtu unambana mtu hadi kwenye mawasiliano yake? unafaidi nini sasa kuona mtoto wa mwanamke mwenzio akiteseka? unafurahia kila siku kumwona mwenye huzuni kila kukicha?
Plz wewe mwanamke najua sijawahi kukukosea wala hatujawahi fanya biashara yotote ile useme nilikudhulumu! Please niache nisome mtoto wa watu wewe tayari unamaisha mazuri, unasoma vizuri tuu na wazaz wako wana fedha nyingi sana. Niache mimi mtoto wa maskini nipambane na kiuwezo changu cha kukariri sio mbaya Mungu nae hujalia sisi v*ilaza. Mimi sina ugomvi na ww wala sitarajiii kukushtak popote zaid ya kuomba ushauri hapa JF leo.
Imefikia stage watu wako wananiita shoga? daa anyway kila mtu atalipwa kila astahilicho ila mimi sitaki wala sishindani na wewe ndugu unaeita wenzio masgoga sa sijui ni kweli au ulifanya hilo tendo anyway utajua na moyo wako.
Najua huwaga unapita humu pamoja na wakala waka wako plz mimi sishindanii chochote na wala siko tayari kushindana na wewe kwani mimi uwezo sina.
Naomba niache nisome bana wew ushatoka kimaisha.
Jana niliskia ukiniigizia navyofunguaga mlango hapa na sauti yangu its Okay umeshinda ushindi mnono naomba niachie sasa nisome mimi sina mda na wewe wala siji kuomba kazi kweni au kushindania kuomba ajira na wewe plz i am sorry samahani kama nimekukosea naomba naiche nipige msuli bana.
Nakukumbushia tena ewe binti sipo interested na wewe hata kidogo plz move on kuwa na amani siwezi kudanganya mm sina time na wewe kwan ulishakosea mda hatutafanya chochote. Huwezi weka on public my privacy halaf ujipe moyo eti ntakua baby wako! how?? hakuna kitu kama hiki hii dunia, sipendi unafik i love this country na sitakubali kuwa mwongo, unavuojipenda na ww penda wenzio ivo ivo usiwanyie wenzio maasi. Ukiona nakosea tumia njia nzuri ya mazungumzo sio unidhalilishe. Wewe umewahi tembe uchi public ww? plz jali privacy ya mtu.
Wape thanks kwa wote waliokamilisha mipango yako, yes they did it well...!
Wape pongezi kubwa sana watendaji wako wamefanikisha each and everything.
WAKUU NIKO AFFECTED PSYCHOLOGICALLY YANI SINA HAMU KABISA NA WANADAMU HAPA DUNIANI HATA WAZAZI WANGU WALIONIZAA. SINA HAMU KABISA KUISHI MAISHA YA VILIO KILA KUKICHA HUU NI MWAKA PILI NAISHI KWA MASHAKA.
NAOMBENI MSAADA WAKUU SINA LA KUFANYA SABABU YA HUYU WANAMKE NISIEMPENDA. UMRI UNAKWENDA FAMILIA INANISUBIRI NA NDUGU.
BORA HATA KWENU MMEZALIWA WENGI MIMI NIMEZALIWA PEKE YANGU MAMA YANGU ANANITEGEMEA MIMI NDO KWANZA NAHaNGANIKA NA WALIMWENGU.
PLZ NAOMBENI SANA MNISAIDIE WAKUU.
Natanguliza shukrani.
hata Mimi najarbu kumwelewa kdogo mf.MTU akiamua kukuaibisha na kukutukna FB, insta, huo utakua ni uuaji labda anamaanisha ivo.Wengi wanaweza wasikuelewe ila nilichoelewa huyo manzi kaamua kukufanyia umafia ili kukukomoa baada ya wewe kukataa penzi lake... Sasa ikichagizwa na uwezo wake wa kipato na hali yako basi ana uwezo wa kukufata hadi kwenye maisha yako binafsi tena bila wewe kujua au kutaka... Nakushauri uende kituo cha police na uripoti hili swala mwanzo mwisho kuanzia kuingilia privacy yako naamini utapata msaada lau hata yeye kuonywa kukuachia uhuru wako... Hili jambo sio la kucheka wajameni, kuna nguvu kubwa sana ktk pesa... Other side pole sana dogo....
Siwez mkuu siwez mla demu bila moyo wangu kuwa tayar ni ngumu mno. Bora nimchane mapema tufunge biashara kila mtu afanye yake. Nishamwambia mara kadhaa kuwa love niliyokua nayo kabla kwa sababu kesha niudhi sa askii tuu sasa anafikir mimi ni robot kwamba unalielekeza linaendaa hata kama halitak.Kama Vip Mkubalie
Mkuu binadamu wanaaboa sana yani baada ya kuamua kukaa mbali kaamua kuajiri team kabisa ili wani attack. Inafkia stage stok geto coz sijui kitakachonikumba huko njian.Unapitia kitu kimoja kinaitwa psychological bullying,.. Naomba utafte washauri nasaa LA sivyo inaweza kukuaffect in long run,..na uyo mwanamke unatakiwa umwambie ukweli ukiwa unanface kwamb huna hisia naye akuleave alone,..na pole Sana na unayopitia,Mungu akuongoze,