God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,062
- Thread starter
- #81
Mkuu umetumwa? ndo msaada wako huo?Km hujavuta bangi wewe ...mimi bwege
Mkuu umetumwa? ndo msaada wako huo?Km hujavuta bangi wewe ...mimi bwege
Joto la jiwe analijua mjusi sio ww unaepita tuu na kumtizama. Sishangai ndo binadamu banaNaona hata uelewa wako shida. Ok sidhani kama wewe ni mwanaume wa kujiamini kihivyo
Saivi kweli umevurugwa ila utakuja kunielewa hayo maneno mda ukipita na ukiwa normal.Coz of fuckin idiots
Mkuu nikiwaambia watu nimeacha chuo hapa hawamini halafu utasikia eti wananikazia nimgonge huyo demu kweli?? Mbona hana nia njema sasa.Saivi kweli umevurugwa ila utakuja kunielewa hayo maneno mda ukipita na ukiwa normal.
Pole sana mkuu
Kwani wewe unauchuliaje uuaji???? Kutoa uhai peke yake???? Sidhani kama iko hivyo kwani kuna uuaji ulio mbaya zaidi ya huu wa uhai ambao ni kuua nafsi/hisia/...............hata Mimi najarbu kumwelewa kdogo mf.MTU akiamua kukuaibisha na kukutukna FB, insta, huo utakua ni uuaji labda anamaanisha ivo.
Huyu ndugu hajui kwamba kuna indirect way za kumuua mtu taratibu. Anajua psychological war huyu? Hajui chanzo cha hii migogoro ni kumvuruga mtu mwishowe a commit suicide an aharibikiwe kabisa?Kwani wewe unauchuliaje uuaji???? Kutoa uhai peke yake???? Sidhani kama iko hivyo kwani kuna uuaji ulio mbaya zaidi ya huu wa uhai ambao ni kuua nafsi/hisia/...............
Naamini atakuwa ameelewa hili kwa marefu na mapana yake....Huyu ndugu hajui kwamba kuna indirect way za kumuua mtu taratibu. Anajua psychological war huyu? Hajui chanzo cha hii migogoro ni kumvuruga mtu mwishowe a commit suicide an aharibikiwe kabisa?