LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,899
- 37,699
- Thread starter
- #41
SEHEMU YA KWANZA BADO INAENDELEA: WANAFUNZI WA KIKE WANAO JAMIIANA NA WASICHANA WENZAO KATIKA SHULE ZA SEKONDARI ZA WASICHANA NCIHINI TANZANIA.
SOURCE : ULIMWENGU USIONEKANA
Mambo yanayo fanywa na baadhi ya dada zetu wa shule wawapo mashuleni..Kuna pepo baya sana lililo apishwa kuwaingia, kuwateketeza na kuwaharibu watoto wa kike . Pepo linafanya kazi kwa kushirikiana na mapepo mengine kumi na mawili . Mapepo yote haya yanatoka baharini ( Marine Spirits ) . Nitalizungumzia suala hili baadaye baada ya kuhitimisha makala haya. Nitaeleza namna pepo hilo linavyo fanya kazi na jinsi ya kuwanusuru binti/dada zako dhidi ya mikono ya pepo hao wachafu.
Nitalielezea suala hili kwa kuuchambua utafiti wa mwanadada Cecilia Izahaki, ulio fanyika katika shule tatu za sekondari za wasichana zilizopo mkoani Kilimanjaro.
UCHAMBUZI WA UTAFITI " FEMALE ADOLESCENTS' KNOWLEDGE ON HOMOSEXUAL RELATIONSHIPS AND THEIR EFFECTS IN LEARNING: The Case Of Moshi Rural District Area. By . Cecilia Izahaki ( 2006 ); A Dissertation Submitted in Partial Fulfillment of the Requirement for the Degree of Masters of Arts in Applied Social Psychology ( MAASP), University Of Dar Es salaam, September, 2006.
Mnamo mwaka 2005, mtafiti Cecilia Izahaki kutoka Chuo Kikuu Cha Dar Es salaa, alienda kufanya utafiti katika shule tatu za sekondari za wasichana za bweni zilizopo mkoani Kilimanjaro kaskazini mwa Tanzania. Utafiti huu ambao ulikuwa sehemu ya kukamilisha masomo yake ya SHAHADA YA UZAMILI KATIKA SANAA NA SAIKOLOJIA YA JAMII kutoka katika Chuo Kikuu Cha Dar Es salaam, ulilenga katika kujua ufahamu wa wanafunzi wa kike katika shule za sekondari za wasichana pekee kuhusu suala la ngono za jinsia moja kati ya wanafunzi wa kike mashuleni
( usagaji ) na namna linavyo waathiri wahusika katika masuala yao ya kitaaluma. Ufuatao ni uchambuzi ( kwa ufupi ) wa matokeo ya utafiti huu, fuatana na mimi hadi mwisho . Kutokana na ukubwa wake nitachambua baadhi ya sura na vipengele vilivyomo ndani ya ripoti ya utafiti huu . Nitajikita kwenye vipengele vinavyo onyesha namna ambavyo suala la usagaji limeshamiri miongoni mwa wanafunzi wa kike katika baadhi ya shule za sekondari za wasichana.
1.. Female students' Knowledge on types of Sexual Relations and Homosexual Practices........Page.55.
Kwa mujibu wa mwandishi Cecilia Izahaki, kipengele hiki kimalenga katika kubaini ufahamu wa wanafunzi wa kike kuhusu aina za mahusiano ya kingono na mahusiano ya jinsia moja. Mtafiti alitumia njia ya mahojiano ( interview ) ambapo aliwaweka wanafunzi katika makundi matatu ( Focus Group Discussions ) . Kundi la kwanza liliwahusisha, Form 1 na form II, kundi la pili liliwahusisha Form 3 & 4, na kundi la tatu liliwahusisha From 5 & 6. Mtafiti anaelezea katika ripoti yake kuwa aligundua wanafunzi wa tatu na nne, walikuwa na ufahamu mkubwa sana kuhusu aina mbalimbali za ufanyaji ngono pamoja na suala la ngono za jinsia moja kwa ujumla wake.
Mwanafunzi mmoja wa kidato cha nne mwenye umri wa miaka 18 alisema :
" Kujamiiana ni kitendo cha kukutana kimwili kati ya mwanamke na mwanaume, mwanaume na mwanaume au mwanamke na mwanamke "
Mtafiti anaeleza ya kuwa baada ya dada huyo kutoa definition hii ya kujamiiana, ilitokea hali ya kubishana kidogo kuhusu uhalisia wa maana hii, lakini mwisho wa siku, wanafunzi wote wa kidato cha 3 na 4 walikubaliana na definition hii..
Mtafiti anaendelea kueleza kuwa katika kundi la wasichana wa kidato cha kwanza na pili, msichana mmoja mwenye mika 13 alisema :
" Kujamiiana ni kitendo cha kukutana kimwili kati ya mwanamke na mwanaume "
Hata hivyo baadhi yao walikuwa wanauliza maswali mengi kuhusu aina za ngono haramu kama vile ubakaji, usagaji na ushoga.
Mtafiti anahitimisha kwa kujenga hoja kuwa , mitazamo tofauti kuhusu ngono iliyo tolewa na wanafunzi hawa wa kike inaonyesha kuwa wanafunzi wa kike wanao soma katika vidato vya juu yani 3,4,5 na 6 walikuwa na ufahamu mkubwa kuhusu aina mbalimbali za ufanyaji ngono ilhali wale walio kuwa katika vidato vya chini yaani cha pili na cha kwanza ambao umri wao ni kati ya miaka 12 -15 walikuwa na ufahamu mdogo kuhusu masuala ya aina mbalimbali, sababu kubwa ikiwa ni hao wa vidato vya juu kuwa experience na exposure kubwa kuhusu taarifa mbalimbali zinazo husu masuala ya ngono...
UFAHAMU WA WANAFUNZI WA KIKE KATIKA SHULE ZA WASICHANA KUHUSU USAGAJI.
Wakitoa maelezo yao kuhusu ufahamu wao juu ya suala la usagaji, wanafunzi hawa walikuwa na mawazo yafuatayo. Kwa maelezo ya mtafiti, wanafunzi wengi wa vidato vya juu, (kuanzia kidato cha tatu hadi sita ) waliweza ku define suala la usagaji. Mwanafunzi mmoja wa kidato cha nne alisema:
" Kusagana ni kitendo cha mwanamke na mwanamke kuwa na mahusiano ya mapenzi ili kumaliza tamaa zao za ngono "
Mwanafunzi mwingine wa kidato cha sita alisema : " Ushoga wa wanawake ni kitendo cha wanawake wawili au zaidi kushirikiana kufanya ngono wao kwa wao bila mwanaume kwa aidha kusagana viungo vya uzazi au kutumia vitu visivyo viungo vya mwili "
UFAHAMU WA WANAFUNZI WA KIKE KUHUSU VIUNGO VYA MWILI PAMOJA NA VITU VISIVYO VIUNGO VYA MWILI VINAVYO TUMIWA NA WANAFUNZI WASAGAJI WAKATI WA KUJAMIIANA NA WASICHANA WENZAO.
Mtafiti aliwauliza wanafunzi na waalimu mbalimbali wa kike katika shule hizo kuhusu ufahamu wao kuhusu viungo vya mwili pamoja na vitu viungo visivyo vya mwili ( artificial objects ) ambavyo hutumiwa na wanafunzi wasagaji wakati wa kujamiiana na wasichana wenzao.
Discipline mistress ( mwalimu wa nidhamu ) wa moja wapo kati ya shule zilizo fanyiwa utafiti alikuwa na haya ya kusema. " During the inspection, we found out that the lesbians were using artificial penis made of soft plastick materials, others used banana, okra anmd doorknobs."
Mtafiti anaeleza katika ukurasa wa 58 wa ripoti ya utafiti huo kuwa ,katika mahojiano haya wanafunzi walitaja viungo na vitu vingine vinavyo tumiwa na wanafunzi wasagaji wa kujamiiana jinsi moja ni pamoja na vidole, test tube, mishumaa, karoti, matango na maindi.
Wanafunzi wa kidato cha sita walielezea namna ambavyo wanafunzi wasagaji hufanya wakati wa kujamiiana kwa jinsi moja na wanafunzi wenzao. Mmoja wao alisema " They normally say that , they begin by touching their sexual organs , sucking breasts; lips and tongues and then join vagina and begin frictioning to each other until they reach the maximum pleasure " @ Uk.59
Mtafiti anahitimisha kwa kusema , maelezo ya wanafunzi hawa ni uthibitisho wa kutosha kuwa wanafunzi hawa wa kike walikuwa na ufahamu wa hali ya juu sana kuhusu tendo la kujamiiana kwa jinsi moja kati ya wanawake kwa wanawake na kwamba kuna uwezekano mkuu kuwa kuna wanafunzi wengi wanao jihusisha na mchezo huo... Endelea kufuatilia mfululizo wa makala haya, muendelezo wa sehemu ya kwanza ya makala haya bado unaendelea na baadaye nitaendelea kufanya uchambuzi wa ripoti ya utafiti huu.