[h=3]SEHEMU YA KWANZA BADO INAENDELEA :WANAWAKE WANAO JAMIIANA NA WANAWAKE WENZAO KATIKA FILAMU ZA KITANZANIA.[/h]
CHANZO :
ULIMWENGU USIONEKANA
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Nora katika tabasamu. Katika muvi ya UPANDE WA PILI WA NDOA, mwanadada Nora ameigiza kama mwanamke ambaye ana uhusiano wa jinsi moja na wifi yake ama dada wa mume wake kwa jina lingine. Picha kwa hisani ya GPL.[/TD]
[TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
[TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
[TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Nora akiwa batani. Picha kutoka GPL.[/TD]
[TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
UPANDE WA PILI WA NDOA ni filamu ya kwanza ya kitanzania inayo julikana ambayo ndani yake kuna wahusika wanawake ambao wana uhusiano wa jinsi moja. Katika filamu hii, mwanaume anafunga ndoa na mwanamke ambaye ni rafiki wa karibu na dada yake , bila kujua kwamba mke wake ana uhusiano wa jinsi moja na dada yake huyo .. Anapokuja kuujua ukweli anakuwa amekwisha chelewa sana.
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mnenguaji Queen Suzy. Katika filamu ya UPANDE WA PILI WA NDOA, msanii huyu ameigiza kama mwanamke ambaye ana uhusiano wa jinsi moja na mke wa kaka yake. Filamu hii inatuonyesha ni kwa namna gani suala la usagaji limejikita mizizi katika jamii yetu na endapo hatua za makusudi za kukabiliana nalo hazitachukuliwa mapema, litamomonyoa maadili ya jamii yetu kwa kiasi kikubwa sana. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Katika filamu hii, msanii Nuru Nassor maarufu kama Nora amecheza kama mke wa mtu ambaye ana uhusiano wa jinsia moja na dada wa mume wake, wakati mnenguaji wa muziki wa dansi aitwaye Queen Suzy amecheza kama mwanamke ambaye ana uhusiano wa jinsi moja na wifi yake.