Mwanamke mrembo ajiua kisa mapenzi

Fumbo Khan

Member
Dec 1, 2020
5
9
Mdada huyo wa S.Africa ambaye kitaaluma ni mhandisi na tayari ana kazi, amejiua kisa mapenzi. Kabla ya kujiua aliibukia Facebook kumtuhumu boyfriend wake. Anasema alijitoa sana kwa mwanaume husika lakini akaishia kuharibiwa maisha yake na jamaa. Aliongeza kuwa mwanaume huyo alisababisha awe kama mwendawazimu halafu baadaye jamaa akawa anamuuliza mbona upo kama mwehu wakati yeye ndie chanzo
View attachment 1639590View attachment 1639591
FB_IMG_1606875920606.jpg
 
Apumzike kwa amani! Lakini Bidada ametoa mpya ya mwaka haya mambo ya msomi mzima kupata wendawazimu kwa ajili ya mapemzi wangewaachia wale ambao hawajasoma!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom