Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake mwenyewe

Iko hivi,

Kuna jamaa ni jirani yangu anapiga mishe kwenye duka la wachina hapo gerezani, wanauza aina mbalimbali za vyuma na mabati ya mageti.

Inavyoonekana jamaa ni anapiga hela ndefu kinyama kwa hao Wachina maana nyumba yake ameiboresha kwa kiwango cha juu sana tangu alipoanza kufanya nao kazi hawa jamaa. Jamaa sasa hivi ana kitambi sio mchezo unaambiwa.

Kutokana na mshikaji kuwa na kipato cha kutosha aliamua kumfungulia mkewe biashara ya nguo za kike na urembo pale Tandika Plaza na akawa analipa kodi ya fremu na kuendelea kutoa pesa za matumizi ya nyumbani kama kawaida. Jamaa alitegemea baada ya muda duka lingezidi kukua kwasababu mkewe hakuwa akilipa gharama zozote zile lakini waaapi.

Jamaa akaanza kufuatilia mwenendo wa mkewe na kugundua anatumia kiasi kikubwa kuhonga vibwana vidogo dogo ili vikampe show ya kibabe (yawezekana jamaa na kile kitambi amekuwa ni mzee wa kimoko chaliii)

Baada ya kugundua hivyo ikawa ugomvi mkubwa na jamaa akaacha kulipia frem, akapeleka watoto boarding na kuacha kutoa hela ya kula, wife kuona vile akaamua kumpeleka jamaa kwenye dawati la jinsia, Jamaa akawaambia sasa hivi anatafuta hela kwa ajili ya watoto wake na mkewe atafute hela kwa ajili ya mabwana zake.

Na jana tu watu wa vikoba walienda kwake kumfilisi maana anadaiwa 1.5M ila hawakukuta mtu.

Na huko Tandika kwenye frem sijui anadaiwa kiasi gani shubaamit zake.

Ujumbe: Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake mwenyewe.
We habari ya familia za watu zinakuusu nini?
 
Mwanamke ni mstaarab sana, hakutaka kumsumbua mumewe kwa show ya nguvu maana alikuwa bize kuingiza pesa tu. Kingine, kitambi kwa kiasi kikubwa huchangia kushuka nguvu za kiume na jamaa yako ana kitambi kama mimba ya miezi 13, unategemea nini? Mwache demu aliwe tu tena mpe connection zangu tafadhali.
 
Back
Top Bottom