Mwanamke mmoja raia wa Australia, amepaka rangi mboni za macho yake na kupasua ulimi uwe kama wa nyoka

MKALI WA MAMBO

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
211
145
Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Amber Luke, raia wa Australia, amepaka rangi mboni za macho yake na kupasua ulimi uwe kama wa nyoka.

Yaani MUNGU anamuumba Mtu kwa Mfano wake halafu Mtu huyo anaji-transform afanane na shetani Nyoka lililomlaghai pale Bustanini...One Day People will remember all shit they did just to enjoy Life.
IMG-20181023-WA0004.jpg
 
Huu uzi ulifaa ukae jukwaa la intanashimo foramu si hapa kwenye mahusiano, urafiki...
 
Huyo dada nilimuona Twitter..huo ulimi upo kawaida kabisa, yeye ndo uwa anauchezesha ivo.

Kwahyo ni kama kipaji tu na sio kwamba ameukata.
 
Haya majina ya amber huwa yana satanic spirit sana. Kuanzia amber Lulu, amber Rose, amber Luke.
 
Katika hii dunia kila mtu na maisha yake..

Yeye anafanya hiki, wewe unafanya kile ili mradi unafanya ile kitu roho inapenda...

Pengine hata yeye atakushangaa akikuona umekaa kama mzimu kama ambavyo unadai anajifanya kama shetani
 
Hakika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom