walaaaaa, sema naona hapa huwezi kupata jibu sababu hatukuona context na mwenyewe hayupo. ila pale pale ungemquote, unapigilia rangi ya bluu na unamuuliza hapa una maana gani? Ila kuanzisha thread ili tuchangie kumsema mwenyewe naona kama ni a bit too excessive. unless awe amekukera sana...aisee... haya bhana, imekugusa??
SALUTE NN, mchezo umeuelewa khaswaaa, ila naskia wale offside trick mashoga!!!Ahahahaaaa....Mwanne Othman kiboko yao aisee! Hivi bado ana-host kipindi cha rusha roho C2C?
Hilo la mwanamke mmbea kuwa na midomo myeusi kaa kunguru nadhani lilikuwa dongo kwa Baby J. Si unajua kuna beef kati ya Offside Trick na AT. Sasa Offside Trick walimshirikisha Baby J kwenye wimbo wao wa Kidudu mtu.
AT alipojibu naye ndo akamshirikisha Mwanne. Huyu mdada ni noumer! Kuna mstari anakwambia "mnajua kuchumu lakini mnanuka midomo". Madongo yake hunichekesha sana.
Sasa mtu ukitaka uuelewe vizuri Vifuu Tundu sikiliza kwanza Kidudu Mtu ya Offside Trick. Ukimaliza ndo usikilize na Vifuu Tundu. Ukimaliza kusikiliza Vifuu Tundu sikiliza Dege ya hao hao Offside Trick safari hii wakimshirikisha Hammer Q. Nadhani Dege ni jibu la Vifuu Tundu. Namsubiri AT naye aijibu Dege.
Haya mambo ya mduara, chakacha, na taarab hapa ndo mwake bana. Penda sana mimi hizo genres!
SALUTE NN, mchezo umeuelewa khaswaaa, ila naskia wale offside trick mashoga!!!
kuna sehemu anasema siingii mlipotoka
WanaMMU leo mnisamehe... nikiwa kwenye browsing ziszo na maana nikakutana na semi moja inasema "utamjua mwanamke mmbeya - midomo ya ke myeusiiiiiiii"
Hawa jamaa huwa wanafikiria nini??
na mwanaumme mwenye midomo miyeusi tii kama mimi yukoje?
watu waache kujitungia mambo ambayo hayana uhusiano hata chembe.....................
NN bro nimekukubali kaka yabgu duh mpaka naanza kuwa mpenz wa hizo makitu! Aksante sana
Ahahahaaaa....Mwanne Othman kiboko yao aisee! Hivi bado ana-host kipindi cha rusha roho C2C?
Hilo la mwanamke mmbea kuwa na midomo myeusi kaa kunguru nadhani lilikuwa dongo kwa Baby J. Si unajua kuna beef kati ya Offside Trick na AT. Sasa Offside Trick walimshirikisha Baby J kwenye wimbo wao wa Kidudu mtu. Baby J ana midomo myeusi ndiyo maana nahisi kuwa hilo dongo lilirushwa kwake.
AT alipojibu naye ndo akamshirikisha Mwanne. Huyu mdada ni noumer! Kuna mstari anakwambia "mnajua kuchumu lakini mnanuka midomo". Madongo yake hunichekesha sana.
Sasa mtu ukitaka uuelewe vizuri Vifuu Tundu sikiliza kwanza Kidudu Mtu ya Offside Trick. Ukimaliza ndo usikilize na Vifuu Tundu. Ukimaliza kusikiliza Vifuu Tundu sikiliza Dege ya hao hao Offside Trick safari hii wakimshirikisha Hammer Q. Nadhani Dege ni jibu la Vifuu Tundu. Namsubiri AT naye aijibu Dege.
Haya mambo ya mduara, chakacha, na taarab hapa ndo mwake bana. Penda sana mimi hizo genres!
na mwanaumme mwenye midomo miyeusi tii kama mimi yukoje?
watu waache kujitungia mambo ambayo hayana uhusiano hata chembe.....................
mwanaume watasema anavuta sigara....na mwanaumme mwenye midomo miyeusi tii kama mimi yukoje?