Mwanamke mkaidi

Mwanamke mkaidi

Mwandiko unaleta shida kusoma, siku nyingine umpe shem aedit kabla hujapost.

Anyway, mwambie amrudishe kwao likizo(Likizo bila malipo-bila kumwambia atamfata lini)
 
huyo sio mwanamume ni ----- tena la mwisho duniani sikujua kama kuna wanume mafala kama hao
 
mkuu ulie weka mada mezani,kwanza napenda nitoe pole zangu kwa huyo mwanaume.
kinacha onekana ni kwamba jamaa anipenda Sana ndoa yake,anampenda mwanae pia anampenda mama wa Mtoto wake.
jamaa ni mpole Sana that's why huyo mama Ana take his politeness for politeness for weakness.
itabidi jamaa sasa awe baba mwenye nyumba,heshima ya baba mume irudi,akisema nikitoka kazini nikukute home na iwe hivyo,LA sivyo kichapo.akisema vya SAA mbili chakula change niwe mezani na iwe hivyo,LA sivyo kichapo.
itafikia hata huyo mama atarudi kwenye mstari tu,na ikiwezekana atamuukiza mumewe mbona umebadilika,umenigeuza ngoma ya mdundiko jamani,..hapo jamaa atamwambia nilikuwa nafasi lakini ukaichezea.
option ya pili ni jamaa kutafuta house maid.huku akiendekea kumchunguza wife Kama kuchepuka ndio kunasababisha arudi late hone na asi perform duties zake.
option ya mwisho sitaki kuitaja au kuisema coz that's not the right solution to solve marriage disputes
 
mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. neno la mungu linasema kumcha bwana ni chanzo cha maarifa. huyo mwanamke hajuelewi. ulokole hauna maana ya kushindwa kutimiza majukumu yake kwa mumewe na familia yake. huyo ana matatizo.
 
Wanaume siku hizi teh vichwa vyenu vimekosa maamuzi kabisa haya buana fugieni nywele tu na.kulialia make.ndo yawezekanayo
We we weeeeee!!!!!!!!!! Wanaume tupo na tena wakati ukikomenti tulikua tunalea ndoa.... Vipi mambo my dada najua uliniambia bado bado hivyo usihofu bado wanaume wa haja wapo ila wa aina ya jamaa ni wa kuombea.
 
We we weeeeee!!!!!!!!!! Wanaume tupo na tena wakati ukikomenti tulikua tunalea ndoa.... Vipi mambo my dada najua uliniambia bado bado hivyo usihofu bado wanaume wa haja wapo ila wa aina ya jamaa ni wa kuombea.

ha ha ha mambo pouwa umepotea
mmh umemsahau shemejio au mawazo lol
HE IS A REAL MAN!!!
 
sasa hapo pana MWANAUME kweli ? kweli unajiita mwanaume kweli ?
 
hivi wewe ni mwanaume mwenzetu au wa kiume....?
 
ha ha ha mambo pouwa umepotea
mmh umemsahau shemejio au mawazo lol
HE IS A REAL MAN!!!
Nimefurahi kuelewa vyema....Tunasahau ndugu si wajua uzee haubishi hodi....tehe tehe ila bado bado.... Mpe hey shemeji yangu and I'm happy ni real man maana tupo wachache na bahati mbaya zaidi kundi kubwa linang'ang'ania kuvaa sketi.
 
Back
Top Bottom