Mwanamke mguu bwana, BTH Upooo?

attachment.php


Na mguu wa chupa ya bia aka FANTA hupendezeshwa na kikuku atiii


Nasikia kuvaa vikuku miguu yote inamaanisha mvaaji ....anacheza mpira miguu yote kweli wajaamani......maana nimejaribu kuulizia kwingine yes kwingine NO....sasa what does it mean?????...its like uvaaji wa wanaume MLEGEZO[caught downing] wanasema ulianza kwenye jela za marekani..na uvaaji ule miaka ya nyuma uliashiria vingine lakini taratibu ikazoeleka na siku hizi hata wanaume STRAIGHT wanavaa..
 
Nasikia Ukivakikuku upande mmoja, tena mguu wa kushoto...........ina maana wewe ni ta ta ti la laa tala!!!


  • Ukikivaa na cha mguu wa kulia hapo sijui

Lakini kwasababu inachangaya wengi, njia rahisi ya kufikisha ujumbe kuwa wewe ni ta ta ti la laa tala!!! Unapovaa miguu yote, inakuwa swadakita, hutupi taabu ya fikiri au kujiuliza mara mbili Tehe te he he heee....
mguu wa kushoto meanz anatoa tIGO na mguu wa kulia meanz analamba KONI aka azam
 
Kinacho niacha hoi ni muda wa kupiga hiyo picha na sehemu uliyopigia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom