Mwanamke mfupi mwembaba vs mrefu mnene

Mwanamke mfupi mwembaba vs mrefu mnene

tatizo baba umenitenga sana mwanao, huwa namwambia mummy akusalimie sasa sijui salamu huwa zinaishia njiani!!!



Mama yako hafikishi salamu! Alafu Leo hii Mwanangu ndio useme nimekutenga?
 
Ntuzu na Khantwe, mbona mwantafuta ubaya jamani..! Nilikuwa na zawadi ya shem wangu Khantwe lakini kakataa kuongea na mimi...btw, Ntuzu jana nilikuwa bize kuwafunga manshit...

Wewe kila Mara wampa zawadi Mke wangu tu Hujui zawadi Hizi......
 
Last edited by a moderator:
Hivi mie ni sony wega au hitachi?


Ha ha ha ha, wewe ni spika za homesieta kama hizi



Mi najua tu mimi ni mwanamke mzuri afu mwema. Mengine mtajazia. Mara sijui ndo sony wega, miguu kama mikono, pua kama ngumi, nywele kama mbigili. Mtajipanga sana na ndo paw haniachi miaka laki nane.

cc Kongosho
 
Mie mwembamba na mfupi..nazururajeee...yani hapa nmetoka kuzurura...nipo hoi.
 
Mwanamke mfupi n kero sana... wivuu afu anataka uwe unamsifia kila muda ili tu ajihis fresh... ukiwa nae ukakutana na rafk ako wa kike mrefu ye tayar wivuuu.....wafupi si kitu knachopendeza machon pangu
 
Uzuri wa nyumba choo na choo chenyewe kisijae.
Nalog off
 
Back
Top Bottom