mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,496
Namalizia kula ugali nitarudi
Tunakusubiri
Namalizia kula ugali nitarudi
Aisee ni kweli.sio wanawake tuu na wanaume pia.wapo kama wana inferior complex.yani wanajua kujidefend kwa maneno kama chiriku.kwa uzururaji hapo kweli.cha kuongezea pia wanawivu na mashindano kwenye kila kitu.
Mtu ambae jamii inam consider mfupi ....!!
Namalizia kula ugali nitarudi
Khaaa wifi we kila siku wala ugali?
Na wanazarau sana na kujiona wao ndio wao
hapa leo kila mwanamke atakuwa mrefu.
haya mazuri yetu ni yapi sie wafupi?
mbona nimekutafuta hupatikani banaa!!
hapa leo kila mwanamke atakuwa mrefu.
haya mazuri yetu ni yapi sie wafupi?