Mwanamke mbishi

Lazy man. Yani anakubania halafu anampa nani?. Nawe umeridhika kabisa eti na hug, mabusu halafu tunalala, halafu unauliza ufanyaje?.
Rudia kusoma budaa, nikirudi nishamaliza hukoo niko mwepesiii πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unaishi naye kwa makubaliano ya mume na mke, uchumba au mmezoana tu?
Swali zuri sana na kuna mkuu mmoja hapo juu kashauri yakuwa atafute Mama mtu mzima amsemeshe kwanza na mimi naongezea swali mmeshajaaliwa kupata watoto?, na mmefunga ndoa ya kidini au kimila? naamini sana ktk kutafuta suluhu kwa kuwashirikisha watu wazima kuliko kumpiga vibao. Ndio maana wanaume tunakufa kabla ya wanawake.
 
Mambo ya baby nakupenda Sana,baby siwezi ishi bila wewe,Bibi agiza savannah Mimi nakunywa maji Nina dozi.Baby ngoja nikusaidie kuosha vyombo nk.Hovyo Sana.
Ndio hivyo sasa…
Na nyie mnapenda kudanganywa sana.
Mtu akiwa halisia mnampiga kibuti chap.

Mnapenda baby nyanyanyaa baby nyenyenye..

Kuweni na wanawake upstairs wako vizuri hata kama sura inakata viuno
 
Usitumie hasira hazita saidia fikiria vema cha kufanya kumtoa nje ya chumba sio dawa.
 
Yani uko na mwanamke ndani halafu hakufulii nguo!!unafua mwenyewe eti hutaki kujibishana nae..nonsense kabisa.na bado unamhudumia!!πŸ˜€

Ungekuwa unamlisha vitasa vya mshtukizo kama mabomu ya Urusi na Ukraine.pumbavu kabisa
Dada wewe ni mnyakyusa ? πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Kina mama wa kinyakyusa hawapendi ujinga kabisa
 
Alijipa matumaini eti atabadilika
Mara nyingi kwenye maisha ndio mfumo huo unasema kama sio leo basi itakuwa kesho mara imepita miaka 5 mateso raha vyote vyako 🀣 🀣
 
Tunapitia mengi pole sana

Wa kwangu ni msafi kupindukia yaani ndani ng'ari ng'ari mpaka air freshener.

Ila sasa mbunye kwa mbinde, nimeamua kutafuta kimada. Nikirudi niko mwepesiii namhug mabusu halafu tunalala tu,
Sasa nifanyeje?
Hawa watu huwa hawako sawa na ndo maana hutakiwi mtegemea mmoja

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Umevamia sasa unalia,pole sana,hakuna mwanamke mwepesi.Tuanzie hapa kwanza ,kilikuvutia nini mpaka ukaamua kuishi naye...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…