Mwanamke kwangu sumu kuniomba hela

Leo mtaongea sana wabahili. Ila kiukweli mimi sijawai kumuomba mwanaume hela ila vitu ninavyofanya lazima nipewe kiroho safi. Ahaaaa imeandikwa kuwa mwanaume ampe mwanamke alichonacho lakini imeandikwa tuwahudumie.
 
vitu gani hivo unafanya?
 
Leo mtaongea sana wabahili. Ila kiukweli mimi sijawai kumuomba mwanaume hela ila vitu ninavyofanya lazima nipewe kiroho safi. Ahaaaa imeandikwa kuwa mwanaume ampe mwanamke alichonacho lakini imeandikwa tuwahudumie.

Imeandikwa wapi
 
Ndiyo anayo. Na nimemtafutia mwenyewe.
 
Aisee inabidi tuzoee tu, maana hamna namna.
 
Mkuu una akili sana.
 
Mm natoa Mr kama anasabb ya msingi maana unless itabd nimruhusu agongwe nje ili apewe hela.
Halaf acha utoto unatudhalilisha wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…