Mwanamke kwangu sumu kuniomba hela

Mwanamke kwangu sumu kuniomba hela

HUNIJUI SIKUJUI

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
1,335
Reaction score
1,615
Wadau,

Mimi ni kijana tu bado sijaoa, sipendi mwanamke anae niomba hela na niko radhi kuachana nae napenda mwanamke free na independent asie omba omba nimekua nao na nikiona ana omba tu nampiga kapuni vijana wenzangu nyie kwa upande wenu hawa ombaomba hawa wakeri?

Na nyie jinsia nyingne hua mnajiskiaje kumtegemea mwanaume kwa 100% na Ilihali sio hata mumeo.
 
Mm kama wewe mkuu yani utadhani mwanaume ni giver tuuuuu. Eti naomba hela ya vocha, weekend hii unaniachaje..duh mbona sisi hatuombi hela kwenu?
 
unataka kula bila kuliwa (kwa sauti ya mkwere)
 
Back
Top Bottom