Mwanamke kwa aliyetayari kupima hiv

Nimeajiriwa serikalini napenda kujitokeza ndani jamiiforum kumpata mwanamke aliyetayari kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na mimi na awe tayari wakati wowote nitakapoamua kumuoa asije akaanza kunipa sababu kwamba nimemshitukiza.mimi ni mkristo ni mrefu wastani maji ya kunde miaka 38 .sifa nimtakaye
1.mkristo
2.mrefu [18 cm]
3.rangi yeyote
4.awe na shape nzuri
5.awe anaishi dar es salaam
6.umri miaka 25--32
7.asiwe anakunywa pombe
8.mwenye kujua mapenzi [amefundwa]
9.asiwe mkorofi
10.elimu kuanzia ngazi kidato cha nne na kuendelea

Urefu Cm 18.... Mkuu unatafuta Binadamu au Panya???
 
mh!hivyo vigezo mbona vingi sana?........hyo shep nzuri ndo nn,hebu fafanua mnene o mwembamba,shep zipo za aina nyingi,hata na 9 pia ni shep nzuri,ha haa...
 
I need husband seriously lkn,awe amempokea Yesu!...pili hakuna kujuana kipindi cha mahusiano (tendo la ndoa) mpaka ndoa if God wish....,elim nina degree. kazi ni kwako,teh the.......ss hayo mambo ya shep,hebu fafanua kidogo,maana shep zipo hadi za kichina ckuhiz!
 
dah... ukiruhusu kuonjana kabla ya ndoa nitafute. I am a commited christian and i read bible everyday.
 
dah... ukiruhusu kuonjana kabla ya ndoa nitafute. I am a commited christian and i read bible everyday.

hee,rafiki angu ss kuwa committed christian na kusoma bibble ndo ukristo?...ww km umeamua kuwa wa Yesu acha hayo mambo na inawezekana!....tangu umeanza kuonja umefaidika na nn?
 
hee,rafiki angu ss kuwa committed christian na kusoma bibble ndo ukristo?...ww km umeamua kuwa wa Yesu acha hayo mambo na inawezekana!....tangu umeanza kuonja umefaidika na nn?

Yes ukristo uliokomaa..
labda ningekuwa nimekufa kama ningekuwa sionji.... yu neva noo mtu wangu.
 
Yes ukristo uliokomaa..
labda ningekuwa nimekufa kama ningekuwa sionji.... yu neva noo mtu wangu.
ha haaa..hakunaga ukristo uliokomaa....Mungu ni roho!na wanaomuabudu wanapaswa kumuabudu ktk Roho!
so hayo mambo mengine hayana nafasi ni mbwebwe 2
 
nimeajiriwa serikalini napenda kujitokeza ndani jamiiforum kumpata mwanamke aliyetayari kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na mimi na awe tayari wakati wowote nitakapoamua kumuoa asije akaanza kunipa sababu kwamba nimemshitukiza.mimi ni mkristo ni mrefu wastani maji ya kunde miaka 38 .sifa nimtakaye
1.mkristo
2.mrefu [18 cm]
3.rangi yeyote
4.awe na shape nzuri
5.awe anaishi dar es salaam
6.umri miaka 25--32
7.asiwe anakunywa pombe
8.mwenye kujua mapenzi [amefundwa]
9.asiwe mkorofi
10.elimu kuanzia ngazi kidato cha nne na kuendelea

vigezo vyote ninavyo kasoro namba 2.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom