Mwanamke kuvaa chupi nyeusi mnakera

Binafsi napenda nguo za ndani nyeusi sio sbb ya Uchafu ila zina stara kuliko zingine
Sipendi mtu avaa blouse afu tunaona sidiria jeupe limejichora kwa nje,nyeusi haionyeshi
Haya mtu avaa gauni mara tite sijui nyekundu ama underskirt mara ionekane hadi nje jmn inahusuu?? nyeusi inakustiri zaidi
 
Back
Top Bottom