Domy
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 4,700
- 1,086
Jf Dr.
Naomba kuuliza, ni kawaida mwanamke kutokwa majimaji ukeni anapojisikia kufanya tendo la ndoa na majimaji huendelea wakati wa tendo ili kumuongezea radha.
Sasa swali langu ni kwamba mwanamke anayetokwa na maji mengi na kuendelea kutoka hata baada ya goli la kwanza hata kupelekea kulala na kitambaa ukeni ili kukausha maji ana tatizo gani? Na nini kifanyike ili kuzuia hali hiyo?
Msaada Dr.