Kwanini Mwanamke anawahi kukaukiwa na maji wakati wa tendo la ndoa

Oct 17, 2017
26
32
Habari wana Jf,Nini ni husababisha mwanamke kukaukiwa na majimaji ukeni wakati wa tendo la ndoa na baadae kuanza kupata mchubuko,na nini kifanyike ili kutibu tatizo hilo,Mwanzo nilidhani kumuandaa ila hata yakiwa mengi hayakawii kukauka kabisa,msaada kwa mwenye kufahamu suluhisho
 
Watu wakimwaga mapema wanasema yao,lakini ukichelewa Ile k inakauka inaanza kukuumizan na ukilazimisha jiandae kwenda angaza
 
Na hapo ndio kwenye changamoto nyingine,ukiwahi eti haumridhishi na ukichelewa eti wanachubuka,japo kwake haiko hivyo ila jambo hilo ndilo limekuwa changamoto kwake lakini naona sasa na kwangu limekuwa kero maana sipendi kuona akilalamika kuchubuka
 
Habari wana Jf,Nini ni husababisha mwanamke kukaukiwa na majimaji ukeni wakati wa tendo la ndoa na baadae kuanza kupata mchubuko,na nini kifanyike ili kutibu tatizo hilo,Mwanzo nilidhani kumuandaa ila hata yakiwa mengi hayakawii kukauka kabisa,msaada kwa mwenye kufahamu suluhisho
Hautumii vizur sperm zako na inaonekana unapenda kumwaga dusko nzima nenda kwa mafungu mafungu utainjoi sana wala mjomba au bas,,,,,, iv watu mkoje yan ile sensation mnaona kama si utam sema wanawake hawasemi tu kule ndaaniii......fanya iv panda mtumbwi kutoka ziwa vikitoria ukifika kwenye mlango wa bahari ingia kidogo beba maji chuvi leta ziwan piga safar rudi nendaaa zunguka na mtumbwi wako ziwa vikitoria ukiona maji chuv yamepungua yafuate na mtumbwi hapa lazima samaki imuite mama yakeee

Wanawake wataelewa haya maandish mekundu kuliko wanaume kama umeelewa fafanua?
 
Lugha ngumu kuchoshana akili,funguka.
 
Back
Top Bottom