Mwanamke kushindana na mwanaume wake ni sawa?

Mwanamke kushindana na mwanaume wake ni sawa?

'Unajua wanawake tunadanganywa na hii kauli
ya '50 kwa '50 na tunasahau kua mwanaume ata
baki kua mwanaume kwani hata vitabu vya dini
viliandika "mwanaume ni kiongozi wa mwanamke,
hivyo basi kaa nae na umweleze mipaka yake kwako,nafikiri akisha elewa misimamo yako ataku
heshimu.
je, kama umemuita na ukamueleza hiyo mipaka yake na bado akawa anarudia makosa.....
hapo unafanyaje?
 
Habari ya hapa wakuu,

Mimi ninae mchumba ambaye natarajia badae mwakani nimuweke ndani. Tatizo lake ni kushindana na mimi kila kitu nikimwambia usifanye hiki na hiki anafanya ukimuuliza anakujibu "nimejikuta tu nimefanya nisamehe"
Wakati mwingine ukimuuliza anakujibu mbona we umefanya yani ni kiburi kiburi wanawake mpoje?

Badilikeni ukiwa na uhakika wa kuolewa tulia.

Hii ni sawa jamani mwanamke kushindana na mchumba wako?
Mkuu yaan huyo mwanamke hana tofauti na nilie nae,,na yy ni mbishi alafu anaongea saaaana mpaka anapitiliza,,nikahisi labda kwa sababu ya umri maana amenizid miaka kadhaaa,,,,sa cjui mkoje nyie baadh ya wanawake msijilinganishe wala kujifananisha na nafasi ya kiume ..
 
Inakera saana..unakuta unamuelekeza jambo..halaf na yy anakuambia mbona na ww hufanyi..naboreka saana
 
Kuna watu wanalalamika kwamba "JF is dying".... naanza kubaliana nao.
 
Siku hizi hakuna cha baba kichwa cha familia wala nini, ukiona namna gani chukua mkanda wako wa suruali geuza ule upande wa chuma mchape nao kwenye mapaja, hakikisha unamkoleza harudii tena kukujibiza.
 
Yani wanaume wengine bana unaona kama kumpromise mtu ndoa ni big deal utadhani mwanamke pekee ndo anahitaji hiyo ndoa, ndoa ni yenu wote anahitaji nawe unahitaji...... Sio ishu kiivo

Swala la kushindana mi huwa siamini kama ni kushindana ila naona unafanyiwa nawewe ili uone how it feels, kuna wanaume mna mambo ya kisengee mnoo mfano tu we simu yako umeweka password mkeo akiweka maneno ooh anashindana for me sio kushindana ila nakuonjesha tu nawe uone how it feels
 
Muda unaotumia kumpiga mwanamke utumie kutafuta hela, kama una nguvu beba jembe ukalime
 
Mm naomba kuuliza kwann unamkataza yeye kufanya vitu ambavo wewe unafanya? So akifanya yeye ni kosa ila ukifanya ww ni sawa, acha zako wewe halafu acha kumtisha ndoa mwenzako we umejuaje kama anashida ya kuolewa? Kama hupendi yy afanye vitu flani na ww usifanye. Lead by example.
Hivi mchumba wako anapokua busy for hours usiku mnene...unapiga simu yani kama haioni vile..baadae unapiga inapokelewa anakwambia ndio nilikuwa nakupigia kwani kuna shida mi kuongea na watu...kama ni wewe utamuelewaje kwa mfano mkuu
 
Yani wanaume wengine bana unaona kama kumpromise mtu ndoa ni big deal utadhani mwanamke pekee ndo anahitaji hiyo ndoa, ndoa ni yenu wote anahitaji nawe unahitaji...... Sio ishu kiivo

Swala la kushindana mi huwa siamini kama ni kushindana ila naona unafanyiwa nawewe ili uone how it feels, kuna wanaume mna mambo ya kisengee mnoo mfano tu we simu yako umeweka password mkeo akiweka maneno ooh anashindana for me sio kushindana ila nakuonjesha tu nawe uone how it feels
I'm very nice to her..kind..listening...ila naona ana take advantage ya upole wangu.
Sometimes being too nice kwa nyie jinsia tofauti na sisi is dangerous, we have to show our mean side once in a while to avoid getting hurt
 
Ukiwa mpole sana napo too much lazma atakuonea, siku nyingine kuwa simba, siku nyingine nyati siku nyingine swala unabalance mambo, pole
 
Yaani watu wa jf ni kama maninja aisee! Kila mtu ni sterling!! Wewe jamaa umetisha sana!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mkuuuu aiseee kuishi na mwanamke inahitaki akili ya ziada sana la sivyo utakuwa kila siku unaona unadharaurika au atakuwa anaona unamuonea kwanza jambo la kwanza ninaona kabisa katika hali halisi dada zetu wakileta Asilimia 50% ya 50% till kwenye mapenzi ni kitu ambacho hakiwezekani mwanaume always ni mwanaume katika mahusiano lakini pia utemi na ubabe mkuu uliopitiliza haufai jaribu kuongea naye in fair way na mkapanga mambo yenu vizuri lakini sasa ukiona analeta dharau au anaamua tuu kila anachooona yeye ni sawa bila kukushirikisha wewe au anashindana na wewe hilo ni jipu mwanamke anayeshindana na mumewe huyo ni hatari hata zaidi ya bangi wanazokula mateja wa tandale coz mwisho wake ni mbaya hakuna mwanaume timamu anayependa kulinda heshima yake kwenye mahusiano atakubali mimi nilishawahi kupata mwanamke kama huyo wako jeuri anashindana na mimi mwanzoni alinipa shida kidogo lkn baaada ya kujua kwamba inabidi kuna some matters niweke misimamo as mwanaume akaanza kunyooka taratibu hapo mkuu cha msingi weka misimamo yako ambayo hautakubali kuyumbishwa lakini please iwe fair isiwe ya kibabe au kikatili mwanamke ukimfanyia ukatili haipendezi lakini msimamo kwa mwanaume muhimu kwa sababu ukiendelea hivyo itafikia hatua hata akikosea utakuwa unaogopa kumwambia tayari hilo litakuwa ni jipu ziko zote naaamini bora kuwa simba kwa siku moja kuliko kondoo maisha yote.
Habari ya hapa wakuu,

Mimi ninae mchumba ambaye natarajia badae mwakani nimuweke ndani. Tatizo lake ni kushindana na mimi kila kitu nikimwambia usifanye hiki na hiki anafanya ukimuuliza anakujibu "nimejikuta tu nimefanya nisamehe"
Wakati mwingine ukimuuliza anakujibu mbona we umefanya yani ni kiburi kiburi wanawake mpoje?

Badilikeni ukiwa na uhakika wa kuolewa tulia.

Hii ni sawa jamani mwanamke kushindana na mchumba wako?

Kuna mambo 2. Moja huyo dada ni Mkurya au 2. Huyo mwanamke ana mwanaume mwingine anayempenda zaidi hivyo anakutafutia visa ili mgombane ajiondokee kiulaini.
 
Mm naomba kuuliza kwann unamkataza yeye kufanya vitu ambavo wewe unafanya? So akifanya yeye ni kosa ila ukifanya ww ni sawa, acha zako wewe halafu acha kumtisha ndoa mwenzako we umejuaje kama anashida ya kuolewa? Kama hupendi yy afanye vitu flani na ww usifanye. Lead by example.
Ndoa itakushinda dada.otherwise umpate mume bwege.
 
Mkuu wana wake ndivyo walivyo mengine unampuuzia mengine unamweleza tu ajuwe kuwa hupendi. Atabadilika labda utoto unamsumbuwa.
 
Back
Top Bottom