Mwanamke kumuita boyfriend mume

Maneno hayo charminglady, hebu tema mate chini..... waoaji wenyewe ujue tumebakia wachache siku hizi.

Hakuna cha mate wala nini, kwani nisip[okuita mume ukiwa BF wangu ndo unioi???
 
I hate extreme feminists...mwisho wa siku wanajikuta 45 approached by many and never married...
 
haijalishi unamuitaje pima kwanza kina cha maji, mambo ya kukuza mambo kwenye shallow water ni kujitafutia kuumia baadaye na wanaume huwa hawasemi tu ila wanashangaa sana mtu unapomuita mume wakati yeye hajawahi hata fikiria kuoa au kukuoa wewe...kuwa makini kulinda moyo wako...kama ni dalili zinaelekea huko sio mbaya kuna raha yake kuitwa mume inakusukuma kumaliza taratibu za ndoa.....
 
halafu ujue mbwembwe huwa zinanogesha malavidavi. think chocs! think!


Hahahaha

Ni kweli dia,ila ukweli ndo unabaki pale pale

Mpaka niape ndo nitamwita mumeee

Hizo bby,hny,darling, sweety na mengine meeengi huwa yanakuwa applied kwenye simu na kitandani...kidoogo bby or swty inatumika kwenye maongezi ya kawaida ila mume mmmh hata ukiita "hubby" nafsi inakusuta lol
 
Wengine tumetolewa mahali ila bado hatujafunga ndoa na hatuishi wote maana yupo nje,je nikimuita hubby nimekoseaa
 
Usicomplicate Maisha mkuu, mambo madogo hayo.
 
WANAFIKI UTAWAFAHAMU KWA KUWEKA ALAMA ZA UANDISHI KWENYE TEXT ZAO,utaingiaje uwanjani bila mazoezi? et siwez kumuita b'frnd mume jua s'thing missing.
 
its only mentality . what u put your stress in plays a myth reality in subconcious mind and when not affirmed brings about inward pain and sorrow to the myth-holder's heart

get me guys?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…