Mwanamke kumtongoza mwanaume na tamaduni za Kiafrika

Wanawake wengi Bongo huolewa na watu wasio wapenda, kwani wale wanaowapenda hawawezi kuwaambia na kwa hiyo inabidi asubiri yule anayemuapproach (hata kama hampendi) alafu baadaye aanze kujilazimisha kumpenda na mwisho wake anampenda kweli, na akisikia anataka kumwacha wengine wanafikia hata hatua ya kunywa sumu.

Lakini kuna njia nyingi za kuapproch, kwa Bongo tumezoea wanaume wanajileeza maelezo mengi na mashairi ya kumwaga utadhani ya Shaban Robert, kwa wenzetu haiko hivyo, kwani wao wanaamini Mtu mzima akikuambia NO leo hata kesho ni NO. Lakini Hapa Bongo wadada wanasema NO wakimaanisha nikafikiri alafu kesho anakuja na Jibu la nipe Muda alafu kesho kutwa YES sasa inakuwa mambo africa Bambataa.

Wadada wanaowapenda wanaume na kwa vile wanaogopa kuonekana wahuni nawashauri watumie non-verbal techiniques, kwa mfano muulize mkaka kama ataweza kukupeleka sehemu fulani kama naomba unisindikize dukani Jumamosi nataka kwenda kuangalia kiatu (Ujue kwanza kama anapenda vitu vya bei kubwa au ndogo, usimpeleke asikoweza kufika) ukifika huko haimaanishi akununulie hata akija na pesa zake (wakaka wengi wanapenda kujitutumua) mwambie hapana, usipokee ofa katika hatua hii, kama una pesa zako nunua (kama Utakiona) kama hakipo mwambie nashukuru kwa kampani yako, na mwambie kuwa window shopping ni tamu mkiwa wawili.

siku nyingine mpeleekee kizawadi kidogo, kama pipi, muulize umewahi kuonja hizi pipi? au mints, kwa kaka yyote mwenye uzoefu wake au aliyekomaa atajua dada ajenda yako nini, atakupa maneno, na hapo hutaonekana umeanzisha wewe, na kama atakupiga buti bado haiwezi kusound sana maana hujasema neno lolote. au vipi??

Ukiwa naye kazini hapo ni rahisi zaidi mana ni rahisi kumuuliza vipi tukanywe chai wote? au lunch? au utapenda kunipa lift? au nikupe lift? au kwanini leo usipite njia hii (unayopita wewe) au unapenda nikusindikize??? Ni rahisi sana kwa mwanamke kumtongoza mwanaume kuliko mwanaume kumtongoza mwanamke....

Duh..hii conclusion nakubaliana nayo kabisa.......
 
Matokeo yake ndo yale mambo ya kumegwa na kuachwa kisha kuoneana kicheche.. Mi naona bora wawe wawazi tungu mwanzoni ili jamaa mapema kabisa ajue kuwa lengo nini haswa. Kwa sababu kwa hulka yetu wanaume, mwanamke akijilengesha hata kama huna feelings naye utammega tu kumbe mwenzako yeye ana ndoto za kuwa na wewe forever ila hakuziweka bayana tangu mwanzoni.

Hiyo ndiyo huwa inapelekea wanawake kutuona wanaume kama wakatili, hatujali hisia zao pale wanapoonesha kutupenda, lakini ukweli ni kuwa njia wanayokuwa wametumia kumtokea mtu ndiyo jamaa naye anaitumia kama advantage ya kummega. Sidhani kama demu ambaye simfeel akija siriaz kunambia kuwa anataka anipe moyo wake nitakubali kumchezea ilhali najua anachokifeel. Nitamwambia tu ukweli ili asipoteze muda wake kwangu. Ila kama atakuwa anajirahisisha tu bila kuweka bayana lengo, nammega kisha nasepa..
Hivyo hili neno kumega au kumegwa ni mwanamke tu ndio anamegwa? Je ww mwanaume humegwi na huyo mwanamke? Au mnamegana? Hebu niwekeni swa na huu usemi.
 
Sweetie, mwanamme unamega. Mwanamke unamegwa. Huwezi kusema eti mwanamme umemegwa na demu unless wewe ni mwanamme uliyemegwa na mwanamme mwenzako (yuuuuck). Get it now?
 
Wanawake wengi Bongo huolewa na watu wasio wapenda, kwani wale wanaowapenda hawawezi kuwaambia na kwa hiyo inabidi asubiri yule anayemuapproach (hata kama hampendi) alafu baadaye aanze kujilazimisha kumpenda na mwisho wake anampenda kweli, na akisikia anataka kumwacha wengine wanafikia hata hatua ya kunywa sumu.

Lakini kuna njia nyingi za kuapproch, kwa Bongo tumezoea wanaume wanajileeza maelezo mengi na mashairi ya kumwaga utadhani ya Shaban Robert, kwa wenzetu haiko hivyo, kwani wao wanaamini Mtu mzima akikuambia NO leo hata kesho ni NO. Lakini Hapa Bongo wadada wanasema NO wakimaanisha nikafikiri alafu kesho anakuja na Jibu la nipe Muda alafu kesho kutwa YES sasa inakuwa mambo africa Bambataa.

Wadada wanaowapenda wanaume na kwa vile wanaogopa kuonekana wahuni nawashauri watumie non-verbal techiniques, kwa mfano muulize mkaka kama ataweza kukupeleka sehemu fulani kama naomba unisindikize dukani Jumamosi nataka kwenda kuangalia kiatu (Ujue kwanza kama anapenda vitu vya bei kubwa au ndogo, usimpeleke asikoweza kufika) ukifika huko haimaanishi akununulie hata akija na pesa zake (wakaka wengi wanapenda kujitutumua) mwambie hapana, usipokee ofa katika hatua hii, kama una pesa zako nunua (kama Utakiona) kama hakipo mwambie nashukuru kwa kampani yako, na mwambie kuwa window shopping ni tamu mkiwa wawili.

siku nyingine mpeleekee kizawadi kidogo, kama pipi, muulize umewahi kuonja hizi pipi? au mints, kwa kaka yyote mwenye uzoefu wake au aliyekomaa atajua dada ajenda yako nini, atakupa maneno, na hapo hutaonekana umeanzisha wewe, na kama atakupiga buti bado haiwezi kusound sana maana hujasema neno lolote. au vipi??

Ukiwa naye kazini hapo ni rahisi zaidi mana ni rahisi kumuuliza vipi tukanywe chai wote? au lunch? au utapenda kunipa lift? au nikupe lift? au kwanini leo usipite njia hii (unayopita wewe) au unapenda nikusindikize??? Ni rahisi sana kwa mwanamke kumtongoza mwanaume kuliko mwanaume kumtongoza mwanamke....

Bwa ha ha ha..mazee wewe umeelewa mada kupitiliza..utakuwa jiniasi wewe..lol
 
Sweetie, mwanamme unamega. Mwanamke unamegwa. Huwezi kusema eti mwanamme umemegwa na demu unless wewe ni mwanamme uliyemegwa na mwanamme mwenzako (yuuuuck). Get it now?
hivi unapomega kitu si unaacha alama,je mwanamke anapomegwa kuna alama inabaki? Kama hakuna alama inayobaki basi mie nadhani neno zuri litakuwa ni kumegana. Maana kila mtu amemla mwenzio na wote wameshiba.
 
Ni lugha tu hiyo Pretty...sio lazima kila neno liwe na maana literal...ni katika kuleta ladha ya maongezi ndio maana zipo figures of speech.
 
Ni lugha tu hiyo Pretty...sio lazima kila neno liwe na maana literal...ni katika kuleta ladha ya maongezi ndio maana zipi figures of speech.

She knows all that man and I bet she knows quit well the meaning ya kumegwa. Si unajua madada zetu nao saa nyingine wanataka kujiongezea mvuto kwa kuonekana innocent. :smile:
 
hivi unapomega kitu si unaacha alama,je mwanamke anapomegwa kuna alama inabaki? Kama hakuna alama inayobaki basi mie nadhani neno zuri litakuwa ni kumegana. Maana kila mtu amemla mwenzio na wote wameshiba.

Tukimaliza hili tupate maana ya Mkuna na Mkunwaji.
 
Haya ndugu yangu nimekusoma, ila linda vyako hapo mjini kuna manyangumi na mapapa ya wake za watu! Hawa kina Fidel80 wapo kila kona.....!

Hahaahaaa!, hivi bwana Fidel80 kumbe ni mnyatiaji wa wake za watu!!
Sasa mimi atakuwa ameniua bure maana kwa mbaaali nina kadamu ka ki-hehe, nikisikia mamsap wamem........... ntajichomoa roho hapohapo!! potelea mbali Mheshimiwa kule juu akanibake!!
 
Wanawake wengi Bongo huolewa na watu wasio wapenda, kwani wale wanaowapenda hawawezi kuwaambia na kwa hiyo inabidi asubiri yule anayemuapproach (hata kama hampendi) alafu baadaye aanze kujilazimisha kumpenda na mwisho wake anampenda kweli, na akisikia anataka kumwacha wengine wanafikia hata hatua ya kunywa sumu.

Lakini kuna njia nyingi za kuapproch, kwa Bongo tumezoea wanaume wanajileeza maelezo mengi na mashairi ya kumwaga utadhani ya Shaban Robert, kwa wenzetu haiko hivyo, kwani wao wanaamini Mtu mzima akikuambia NO leo hata kesho ni NO. Lakini Hapa Bongo wadada wanasema NO wakimaanisha nikafikiri alafu kesho anakuja na Jibu la nipe Muda alafu kesho kutwa YES sasa inakuwa mambo africa Bambataa.

Wadada wanaowapenda wanaume na kwa vile wanaogopa kuonekana wahuni nawashauri watumie non-verbal techiniques, kwa mfano muulize mkaka kama ataweza kukupeleka sehemu fulani kama naomba unisindikize dukani Jumamosi nataka kwenda kuangalia kiatu (Ujue kwanza kama anapenda vitu vya bei kubwa au ndogo, usimpeleke asikoweza kufika) ukifika huko haimaanishi akununulie hata akija na pesa zake (wakaka wengi wanapenda kujitutumua) mwambie hapana, usipokee ofa katika hatua hii, kama una pesa zako nunua (kama Utakiona) kama hakipo mwambie nashukuru kwa kampani yako, na mwambie kuwa window shopping ni tamu mkiwa wawili.

siku nyingine mpeleekee kizawadi kidogo, kama pipi, muulize umewahi kuonja hizi pipi? au mints, kwa kaka yyote mwenye uzoefu wake au aliyekomaa atajua dada ajenda yako nini, atakupa maneno, na hapo hutaonekana umeanzisha wewe, na kama atakupiga buti bado haiwezi kusound sana maana hujasema neno lolote. au vipi??

Ukiwa naye kazini hapo ni rahisi zaidi mana ni rahisi kumuuliza vipi tukanywe chai wote? au lunch? au utapenda kunipa lift? au nikupe lift? au kwanini leo usipite njia hii (unayopita wewe) au unapenda nikusindikize??? Ni rahisi sana kwa mwanamke kumtongoza mwanaume kuliko mwanaume kumtongoza mwanamke....
umenikuna palepaleeeeeee mummy!!!!!!!...... nawaaambia wasichana msitongoze kimalaya mkaka unayempenda kikweli, mambo ya kuacha mapaja nje na cleavage its an old fashion en leave them for the hookers.
 
I guess the problem here is the use of the word "kutongoza". Do you know what this word means in English? This might solve the puzzle, but expressing one's feelings to another, I guess that is common both ways.. be it in Tanzania, France or in Bangladesh!
 
Dah hii bado haijawa common sana lazima tuseme ukweli hata ulaya ambako tunaamini kuwa wameendelea katika kuleta usawa wa kijinsia ni baadhi tu ya wanawake ndo wanaweza kufanya hivyo, mwanamke anajisikia raha sana anapotongozwa hata wanyama kama mbuzi, kuku, nk ni madume ndo yanaanza kuwafuata majike na kuwashawishi katika kufanya ngono.
 
Mkuu Bluray kwani komredi Masanilo umemjua leo?

Masanilo bora uende likizo tu ukirudi naona kidogo jamvi litapumua...lol tutabaki na dogo Fidel.....hahahaha

kwi kwi kwi namsubili kwa hamu bro. Yo Yo bado yupo lock up twendeleze libeneke lakini kipo kikosi kazi kama akina Msanii, Mbu we acha tu
 
Mimi naona tubaki kwenye utamaduni wetu mwanamme kutongoza mwanamke. Ni wanaumme wangapi wakitongozwa watasema NO? Hata kama hampendi yule mwanamke atasema yes tuu ili mradi ampitie tuu. Na sio kweli nje ta TZ wanawake wa kawaida wanatongoza wanaumme.
 
Ni wanaumme wangapi wakitongozwa watasema NO? Hata kama hampendi yule mwanamke atasema yes tuu ili mradi ampitie tuu.

Haki ya nani nikipata zali hilo mimi siachi namega siwezi nikapiga teke bakuli la dhahabu mimi natafuna kisha najipooza kwa kujiexpress kama kawa. Violet bahati ya mtende usiilalie mlango wazi.
 
Tatizo liko kwa alie tongozwa,kwani kama wewe ni muelewa katika masuala yahusuyo mahusiano utagundua ukweli uko wapi.
kwa maana mwanamume akitongoza anatarajia kumpata dem ambae na atampenda pia.vinginevyo hapo hakuna mapenzi bali ngonjera tu.sasa inapotokea ukatongozwa na mdada,basi jua wazi ni sawa na wewe unavyomtokea tu,na huna budi kuikubali hali ilivyo.
 
kwi kwi kwi namsubili kwa hamu bro. Yo Yo bado yupo lock up twendeleze libeneke lakini kipo kikosi kazi kama akina Msanii, Mbu we acha tu

hahaha...uyo mbona ameshafunguliwa siku nyingi, sema naona labda amezira!

Subiri Fidel atakuambia ni nini ndugu yangu.

Mkuu apo juu mchango wako unahitajika...hebu ngonga Hapa
 
Back
Top Bottom