Mwanamke kukataa kutumia kondom

Hakyanani hawa viumbe wanapenda kuchunguliana vikojoleo pekupeku, na hivi tumepata gas basi faida itapelekwa kuongeza bajeti ya vidonge

Mimi tu ndo sipendi
 
Hahahahaa...mie pia mkuu afu naweka uso wa mbuzi hakuna kusemeshana hadi anaachia!

Unaona mkuu, nitafune papuchi kama bablis afu uniambie nivae condom...sioni mantiki kabisa!!
 
Mwanamke anayekataa kutumia kondom ni mpumba.fu coz kuna uwezekano akawa anasaidiwa lakini yeye anaamua kujiua.
 

siku hz upendo huwa upande mmoja kama si KE basi ME ila kwa wote ni ngumu sana usije ukajiroga kwamba wewe upo serious basi na mwenzio hivyo hivyo utanyweshwa juice ya pilipili ohoooooo!!!!!!!!!!!:yo:
 

ha ha et sherehe ya kugegedana usiku mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…