Mwanamke kujitolea mahari je, analazimisha ndoa?

Mwanamke kujitolea mahari je, analazimisha ndoa?

Kama hana uwezo wa kumlipia mahari vipi kuhusu majukumu ya ndani amabayo ni zaidi ya hiyo mahari utaendelea kutoa kama mwanamke?

hizo commitment nyingne aiseee itafahamika itabid amtafutie kazi sasa
 
Mwanaume anapaswa alipe mahari,sasa kama hiyo itamshinda hayo majukumu ya kibaba atayawezaje? Anapaswa asimamie show kikamilifu.
 
hilo nalo neon,ht mm nilisema lazima kudumisha mila, mambo ya kisasa sijui kwenda na wkt hapana kwangu. zilitoka ng'ombe 15 kisukuma tunasema nzangamba na nzeku. ukitolewa mahari inaleta heshima aisee asikwambie mtu.
yaani mimi lazima nitolewe mahari tena ngombe kazaa allaaaa

NADUMISHA MILA ILA WENGINE ISHASHINDWA MI MASAI BWANA
 
mwanaume kulipa mahari ndio mpango mzima ht km ni laki moja au elfu 5, niliwahi kushuhudia ugomvi mmoja wa mr & mrs Fulani,yule baba alimwambia mke wake "ww una thamani gn humu ndani,ht vijiko vina thamani kwsbb viliingia humu ndani kwa sh 1000,kwanza nilikuwa sikupendi ulinilazimisha tu kukuoa" lkn chanzo ni kuwa mdada ndio alitoa hela akampa jamaa akaenda kulipa....ukilipiwa mahari unakuwa unaheshimika.
 
hilo nalo neon,ht mm nilisema lazima kudumisha mila, mambo ya kisasa sijui kwenda na wkt hapana kwangu. zilitoka ng'ombe 15 kisukuma tunasema nzangamba na nzeku. ukitolewa mahari inaleta heshima aisee asikwambie mtu.

sana ngombe muhimu looh
 
Lazima atoe mahari kama hawwez basi atakuwa amaolewa yye kwa maana majukumu yake hayawezi
 
Ni.mtizamo.tu.

Kuna wengine wanatoa mahari, ila baada ya ndoa majanga. Wangapi hapa wamesomeshwa na mama zao na hali wanaishi na baba zao?

Familia ngapi baba yupo, na alimtolea mkewe mahari lakini mama ndio anasimamia familia?

Sema mwanamme kutoa mahari ni dalili ya uwajibikaji, ila sio guarantee.
 
Kwa hiyo madam unataka kusema nini hapa kwamba kwa mtazamo wako unaona mwanamke ajitolea mahari mnasaidiana?
 
Lazima atoe mahari kama hawwez basi atakuwa amaolewa yye kwa maana majukumu yake hayawezi
Kama hana na ana nia ya kukuoa? ukimwambia ajipange na wewe umri ndo unazidi kwenda na uwezo unao utatafuta mwingine?
 
Kama wahusika.wameridhia, ajitolee tu.

Pia kuna tamaduni ambazo mwanamke.ndio hutoa mahari, je.ndoa zao hazina furaha?
Kama zina furaha kama zingine, shida iko wapi?

Kwa hiyo madam unataka kusema nini hapa kwamba kwa mtazamo wako unaona mwanamke ajitolea mahari mnasaidiana?
 
Mwanaume anapaswa alipe mahari,sasa kama hiyo itamshinda hayo majukumu ya kibaba atayawezaje? Anapaswa asimamie show kikamilifu.
Kama hana uwezo na mahari hizo mnazopanga kulingana na mfumuko wa bei kama bidhaa kwa hiyo asioe?
 
Kama wahusika.wameridhia, ajitolee tu.

Pia kuna tamaduni ambazo mwanamke.ndio hutoa mahari, je.ndoa zao hazina furaha?
Kama zina furaha kama zingine, shida iko wapi?
Umeshasema tamaduni za watu wengine na ambao kimsingi unakubalika katika jamii yao vipi kuhusu huku kwetu?
 
Mwanamke akijitolea mahali atanyanyasika sana kwa mumewe kwani akikosea tu kidogo Tusi litakuwa c ulijilipia mwenyewe mahali so yatakuwa ni manyanyaso ndani ya nyumba
 
Mwanamke akijitolea mahali atanyanyasika sana kwa mumewe kwani akikosea tu kidogo Tusi litakuwa c ulijilipia mwenyewe mahali so yatakuwa ni manyanyaso ndani ya nyumba
Wanaojitolea hayo huwa hawafikiriii tena ni wengi wao ni wasomi wenye kazi zao au ndo yanakuwa mapenzi y
ako kwenye peak
 
Vipi kwa wewe mwanaume mwanamke akikuambia kama ni mahari nitakutolea hilo unalichukuliaje?

Sitakubali mkuu kwakuwa udhaifu wa mwanamke naujua na hata kitabu cha dini kimelisema hilo,
Hakutakuwa na amani ya milele.
 
Back
Top Bottom