Mwanamke kujifungua 'mjukuu wake'


Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,043
Likes
5,215
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,043 5,215 280
160630153826_frozen_eggs_640x360_bbc_nocredit.jpgMwanamke ambaye anataka kutumia mayai ya uzazi ya bintinye ili kumzaa mjukuu wake ameshinda kesi mahakanani na kuruhusiwa kufanya hivyo.

Mwanamke huyo wa umri wa miaka 60 alikuwa amekatazwa kupeleka mayai ya bintiye kwenye kliniki moja nchini Marekani hali iliyosababisha akate rufaa.

Bintiye ambaye aliaga dunia mwaka 2011, anaripotiwa kumuambia mamake amzalie watoto wake. Lakini mamake alishindwa katika kesi mwaka uliopita.

160630154221_eggs_frozen_640x360_bbc_nocredit.jpg

Hata hiyo aliruhusiwa kupinga hukumu hiyo katika mahakama ya rufaa mjini London mbele ya jopo la majaji watatu.

Mwaka 2014 halmashauri inayohusika na mayai ya uzazi, ilisema kuwa mayai hayo hayangetolewa mjini London, kwa sababu bintiye hakuwa ametoa idhini kamili kabla ya kifo chake akiwa na umri wa miaka 28.

Lakini kwenye kesi ya sasa mawakili waliawaambia majaji kuwa, mwanamke huyo alikuwa anataka kutimiza matakwa ya bintiye ya kuzaa mtoto akitumia mayai yake na kisha amlee mtoto huyo.

BBC Swahili
 
Majestic wolf

Majestic wolf

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2015
Messages
1,204
Likes
1,657
Points
280
Majestic wolf

Majestic wolf

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2015
1,204 1,657 280
Mayai ya bintiye sperms je?
 

Forum statistics

Threads 1,236,310
Members 475,050
Posts 29,253,817