hata jini lililojaa? Kwanza nina wasi wasi na huyo The Boss nahisi ni jini haba, maana jana nilimstukia anataka kuniingilia ikabidi nimkemee, sikulala since then.
My Eiyer kaenda kugonga kokoto, halafu kaniambia nisimbikiri mpaka siku ya ndoa, ngoja nivae jeans tu, huyo jini haba hawezi pekenyua! LOL
Naomba kijibu hapa si kwa mtaala wowotw bali kwa uelewa wangu wa kimjini mjini tu.
Wanamme hupata wet wanapoanza kubalehe na huendelea hadi time t but t=/0
kwa mtizamo wangu kwa wanamme watu wazima au mabao wameshaoa wanauwezo wa kufanya ngono kwa hiyo wanapunguza chances za wet dreams.
Kwa akina mama, naamini mwanamke kadiri anavyokua mtu mzima mahitaji yake ya ngono yanaongezeka na wengi muda huu hujikuta wanauwezo kwa kufanya ngono sababu labda wanakuwa wameolewa. Inapotokea mwanamke hajaolewa au yuko single au hapati ngono ya kutosha, nategemea wet dreams zitaongezeka kwa mwanamke mwenye umri mkubwa around 30 - 45 kuliko binti wa niaka 17 -22.
Unavyosema siku hizi wet dreams zimehamia kwa kina mama napata wasi wasi, mie nadhani sasa akina mama wako wawazi kusema kuwa hawafanyi ngono sababu ya wenza wao tu, na wao wanahitaji na wanafurahia ndio maana unasikia akina dada wanasema wazi wamepata hizi ndoto.
Ijaelewa kwa nini unasema akina mama wapate wet dreams wakati wa ovulation, au sababu unamaanisha kuwa kipindi hiki huhitaji zaidi? Kama jibu ni ndio, inawezekana anapata huduma yake so maisha yapo kama kawaida ila kwa amabaye hapati huduma natemegea kipindi hiki wet dreams kuongezeka.
Ikimbukwe no risthechi no lait to spiki
Mh gfsonwin jinsi nilivyokuwa nasoma hii thread ulivoijibu na maneno uliyoyatumia,yaani mpaka udenda umenitoka ikawa kama vile naiona hii hapa!:tonguez:dah! leo nimegundua kitu Kongosho wewe ni mkaka aisee kwa majibu yako haya you are he. tuachane na hilo
kongosho chances za matamanio ya kufanya matusi ni kubwa kwa wasichana kuliko akina mama na hili lipowazi biologicaly. Nikupe mfano wangu mimi hamu ya kufanya matusi niliyokuwa nayo wakati nilipokuwa binti wa ilikuwa kubwa sana kuliko ilivyo sasa hivi. Sababu kubwa ni kwamba kadiri umri navyoongezeka basi ashki kwa ke zinapungua na tulio anza mchezo wa matusi mapema tulitumia hii kama loop hole kwamba at age 45 hamu hakuna unabaki kumsarvice baba kama desturi.
wasichana wengi sana, wanaosumbuliwa na hizi wet dreaams ni kwasababu ya factors zifutazo -- kuwaza ngono mara kwa mara kwasababu wanaitamani ila pakuipata iwaondolee kiu hakuna, wengine ni past experience ama ni appointment anayoisubiria so inampelekea kuota hayo mwingine ni mapepo hasa ya ngono na haya hayapingiki yapo hasa kwa mabinti. nyingine ni matamanio ya kimahusiano na mtu fulan may be natamani kuwa na mahusiano na mvulana fulan na taswira yake imeuteka moyo wangu definately nitaota kulingana nayeye.
hakuna mahali niliposema akina mama la nimesema wadada, na nategemea zaid wadada wapate hizi wet dreams wakati wa ovulation kwani ndicho kipindi ambacho nyege zinakuwa nyingi na pengine hata mtu ukimsalimia tu anaweza kuhisi kuwa unanyege manake joto la mwili linapanda na pia ndani ya uke kunakuwa na mtekenyo fulani ambao hulazimisha hilo tendo hata ukuta wa uke na kisimi hupwita. Kama wee ungekuwa mdada ungenielewa namaanisha nini.
fikiria kwanini binti anayeexperience hali hii asipate wet dreams? na cha ajabu zaid kadiri manamke anavyozidi kuyoyoma kutoka kwenye actve fertile age halii hupungua na hufika wakati ikaisha kabisa akabaki kufanya matusi just kuridhisha baba.
gfsonwin, nimekubaliana na wewe ila una maana binti wa miaka 17 - 24 ana matamanio makubwa ya ngono kuliko dada wa miaka 30 - 40??
Hebu nijibu nikaperuzi Abott haraka sana, maana napingana na dhana hii
stephot maneno ya kiswahili yanaonyesha matusi sana kuliko ya kiingereza ila nafikiri ni kwasababu tumeyazoea. ila si ukweli?Mh gfsonwin jinsi nilivyokuwa nasoma hii thread ulivoijibu na maneo uliyoyatumia,yaani mpaka udenda umenitoka ikawa kama vile naiona hii hapa!
Niko pouwa, ila nina usingizi kweli!
Naogopa nikilala sasa hivi nitapitiwa na jini mahaba! LOL
Kwi kwi kwi lol! ukilala tu jini wa mapenzi atapita kufanya vitu vyake...ukiamka utajisikia raha ndani ya roho LOL!
Nimelala na skin tight, na jeans kwa juu baada ya kuvaa ch.pi na boxer ya mzee lkn! No entrance kabisa, l don't want to feel USED! LOL
sijui nijielezeje hapa, yaani natamani dudu kila ninapokuwa peke yangu, hii hali ilianza baada ya kuachana na ex wangu ambaye tulikuwa tunasex karibia kila siku kiasi kwamba sex kwangu ilikuwa kama chakula, sasa tulivuoachana ile huduma nikaikosa, nikaanza kumasterbate, huwa inaaanza kwa kujisikia niko kwenye hali flani hivi ya mahaba, mwisho wa siku naishia kujikuta najisugua, duu napata excitiment ya ajabu sana, hivi niko sawa kweli
hahaha..hilo la kuolewa limetokea wapi tena??linachangia nini?
sijui nijielezeje hapa, yaani natamani dudu kila ninapokuwa peke yangu, hii hali ilianza baada ya kuachana na ex wangu ambaye tulikuwa tunasex karibia kila siku kiasi kwamba sex kwangu ilikuwa kama chakula, sasa tulivuoachana ile huduma nikaikosa, nikaanza kumasterbate, huwa inaaanza kwa kujisikia niko kwenye hali flani hivi ya mahaba, mwisho wa siku naishia kujikuta najisugua, duu napata excitiment ya ajabu sana, hivi niko sawa kweli