Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,164
Kaunga, sikatai kwamba mapepo hayapo, najua yapo.
Ila hili la ndoto za mapenzi sioni pepo anaingiaje, ukiachia ile ya dungadunga wa Dodoma
Nii kitu cha kawaida kabisa hasa kwa mtu aliyewaza ngono kwa muda mrefu.
Kama wanamme wanapata why not wanawake?
Nachokataa mbona wanamme hawaambiwi ni pepo?
Hivi unajua maana ya kuomba ili usipate ndoto za aina hii?
Mie huwa naona ni aina ya ku-connect na wewe mwenyewe na kuipa 'power'akili yako ya kutowaza ngono wakati umelala.