Mwanamke kudekezwa na kubebishwa

Mwanamke kudekezwa na kubebishwa

SWEET RIZIKI

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
288
Reaction score
387
5f944eab862aecf1e3565a583894b6e769da7ba4.png_970x400.png
maxresdefault (1).jpg
Ndo hivyo wanaume , wanawake wanapenda kusikia Maneno mazuri ya Mahaba kutoka kwenu yenye kuamsha hisia za mapenzi. Sweet umependeza, tangu nikuoe hadi leo utafikiri hujazaa uzuri wako hauchuji mrembo n.k, n.k .

show-nigerian-love-e1414151398649.jpg

Kifupi Hisia za mapenzi za wanawake wengi huamshwa na KUSIKIA Maneno Mazuri ya Mahaba kutoka kwa mpenzi wake . Awe mwanamke wa umri wowote ule na wala haijalishi umedumu nae kwenye mahusiano kwa muda gani Suala ni kwamba wanawake tunapenda kudeka kwa mabwana zetu ukifaulu hapo Neno kunyimwa unyumba utasikia tu jf au kwenye redio.
romantic-getaways-in-north-georgia.jpg

Kitandani
ndipo haswa na kuonesha ujuzi wako wa kuchekesha na kufurahisha .Kuwa comedian kwa mkeo usiseme atanichukuliaje ,ndo atasisimka na kukumbuka kila ukisafiri ni Miss you, baby unarudi lini.

Jamani kaka, baba, wajomba na watoto wetu wa kiume jaribu sasa kubadilika ilibTanzania ya Viwanda iende sambamba na Familia zenye Furaha na Watu wenye Furaha. Furaha ya Mwanamke itakuletea faida nyingi ikiwemo
1. Mapenzi moto moto yasiyochuja.
2. Watoto wenye akili na wanaojiamini.
3. Familia bora.
4. Utendaji kazi bora na uliotukuka.

Wanawake wengi kwa asilimia kubwa wameweza kuamsha Hisia za Wanaume kwa Kupitia KUONA , siku hizi karibia kila mwanamke ni mrembo na anavutia haswa hivyo wanaume msituangushe twende sambamba tuijenge Tanzania imara.
Jamani ni kukumbushana tu, ahsanteni.
happy couple_4.jpg
maxresdefault.jpg

f-Happy-African-American-Couple-Snuggling-in-Bed.jpg
 
hahaha
wanawake huwa mnakuwa na demand nyingi sanaa ase. sjuihuwa mnafikiri sisi ni ma super human!.
punguzeni demands la si hivo mtaona hamtendewi haki kila sku.
Mmesahau demand zenu? Mtupende. Kutupenda ndio kunaambatana na hayo. Mkitupenda walaaa hamtoona ni demand nyingi shemeji. Zinatokea tu automatic, ila zile za kupimiana ndio matokeo yake kauli kama hizo zinatokea.
 
jamani kwani mwanaume zad ya kuheshimiwa na kupewa haki yake ya mechi, hahitaji mambo mengi.
ila wanawake mnataka hadi tuwe ma komediani!!

shemeji that is too much jaman
 
Namna hiyo ndo wanapendaga
Kabisa hata vikiwa ni uongo ili mradi ni mahabuba vichwa vyetu huvimba na kujiona mrembo kuliko wanawake wote duniani basi siyo kumtetemekea bwana hajakohoa ushaitikia beee sweet siyo baba Fulani tena hapo.
 
hahaha
wanawake huwa mnakuwa na demand nyingi sanaa ase. sjuihuwa mnafikiri sisi ni ma super human!.
punguzeni demands la si hivo mtaona hamtendewi haki kila sku.
Ndiyo vichwa ndo Mungu aliwataka kuishi duniani siye tulikuja kwa hitaji lenu hivyo ni kazi yenu kututimizia matakwa yetu na kutufurahisha kama mtoto adaivyo matunzo na malezi toka kwa wazazi.
 
Ndiyo vichwa ndo Mungu aliwataka kuishi duniani siye tulikuja kwa hitaji lenu hivyo ni kazi yenu kututimizia matakwa yetu na kutufurahisha kama mtoto adaivyo matunzo na malezi toka kwa wazazi.
hapana
mbona kwenye mambo mengine huwa mnataka usawa?

mahusiano yafaa yawe fair , sio nikuchekshe ila tuchekeshane, siyo nikubembeleze ila tubembelezane.
kwa kweli relationship ni two way streak.
 
Back
Top Bottom