Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
There you are brother, ila naona watu humu wanataka kumsulibisha mwanamume aonekane kama ana makosa kwa kudai chake.
Suala la kusamehe lipo nafsini mwa mtu na mtu huyo anajisikiaje juu ya suala la kusamehe.
Jamaa wa wapi huyo? Bila shaka ni Muha huyo mkaka
Wala hatumsulubishi huyo jamaa ukifatilia hata bidada tumemsema sana
Wote tu sawa kuachana ktk mapenzi ni kawaida
lakini si angemwambia mwenzeke tu kwamba
kila mtu ashike njia yake!!!!!!!
Halafu eti kwasababu Once in Lifetime ulinipa hela
ya Saloon ndo uje unidai,ana bahati anawafaham
wazazi wake na wana uwezo wa kuzitoa!!!!!!!!
I sawa kabisa, maana huyo msichana kajifanya mtoto wa mjini acha na mwenzake pia aonyeshe ya kuwa anaweza react kwa kiwango chake. Hiyo itampunguzia machungu kiasi huyo rafiki yako.
N.B : Though mimi siwezi kufanya huo ukauzu alioufanya jamaa.
mmhhh jamani wanaume mmeumbwa na koromeo la nini kama hata uvumilivu hakuna , hivi alimpenda kweli huyo binti au ndo zile nakupa nikikupata utajuutaaaaaaa na kulipia,
kama alitoa kwa mapenzi hakuna mkataba wa maandishi wa kurudishiana hapo, awe tu mstaarabu na kwanza ameenda kwa wazazi wa binti kama nani, alishakua officially mchumba au ndo dharau tu kwa wazazi wa mabinti
Halafu jamaa hata gezaulole hakupewa. Kama wewe inakuaje?
haposiyo liwe fundisho kwa watu wa namna hii nikwamba liwe fundisho kw wanawake wey tabia hii...!Mkuu ukisoma maelezo ya jamaa ni kwamba walikubaliana kuwa wapenzi, na msichana akamwambia hayuko tayari kutoa papuchi mpaka watakapoidhinishwa, Ghafla msichana kabadilika na kumtosa jamaa, kama ni wewe ndio mwanamume utafurahia kufanywa zoba.? Yaani hapo kama ni mahakamani hakimu angesoma hukumu ya namna hii:
"kwa kuwa mwanamke huyu alitumia ulaghai ili ajipatie pesa za matumizi toka kwa mwanamume huyu, namhukumu huyu mwanamke kulipa faini na gharama za mwanamume ili iwe fundisho kwake na kwa watu wa aina yake. "
Risit za kununua au kuuza bidhaa anazo huyo brother man?
Mi ndio maana sitaki kabisa mambo ya kuomba omba pesa ya mwanaume..!
Mdada una kazi yako unaendekeza kuomba omba..! Mmmh..!
kweli kabisa
vitu vingine kujiabisha,kuna watu wanajiendekeza sana ila na huyo mwanaume ni wa aina yake kha!ni shida,maumivu au pepo lol
kulikuwa na contract?maana kuwafuata wazazi kwani ni mashahidi au?
Huyu jamaa ni kauzu zaidi ya dagaa lol!
sasa umeambiwa jamaa hakula kitu alipie huduma gani tena? Ndo maana mimi huwa siwez kutumia na demu zaidi ya buku mbili mpaka nikisha mlaza kibra...ingekuwa mi ningedai na riba!