Mwanamke kudaia arudishe pesa

Mwanamke kudaia arudishe pesa

There you are brother, ila naona watu humu wanataka kumsulibisha mwanamume aonekane kama ana makosa kwa kudai chake.

Suala la kusamehe lipo nafsini mwa mtu na mtu huyo anajisikiaje juu ya suala la kusamehe.

Wala hatumsulubishi huyo jamaa ukifatilia hata bidada tumemsema sana

Wote tu sawa kuachana ktk mapenzi ni kawaida
lakini si angemwambia mwenzeke tu kwamba
kila mtu ashike njia yake!!!!!!!

Halafu eti kwasababu Once in Lifetime ulinipa hela
ya Saloon ndo uje unidai,ana bahati anawafaham
wazazi wake na wana uwezo wa kuzitoa!!!!!!!!
 
Risit za kununua au kuuza bidhaa anazo huyo brother man?
 
Binti kilaza tu huyo, yaani ni chui ndani ya gamba kondoo. Jamaa achukuwe tu vyake, kwani hata wazazi na jamaa wa binti ni vilaza, kwanini wamefumbia macho issue hio wakati walishatambulishwa?
 
Wala hatumsulubishi huyo jamaa ukifatilia hata bidada tumemsema sana

Wote tu sawa kuachana ktk mapenzi ni kawaida
lakini si angemwambia mwenzeke tu kwamba
kila mtu ashike njia yake!!!!!!!

Halafu eti kwasababu Once in Lifetime ulinipa hela
ya Saloon ndo uje unidai,ana bahati anawafaham
wazazi wake na wana uwezo wa kuzitoa!!!!!!!!

Haahaa..! Bidada hapo imetumika principle ya "you do me, I do you" hapo nadhani kama huyo binti ni wa kujifunza atakuwa somo kalipata haswaaaa...!

By the way jamaa atakuwa kafanya hivyo ili kupunguza machungu ya kuzinguliwa, Kuhusu wazazi kuamua kulipa ni uamuzi wa busara zaidi kulikoni wangeacha kumlipa jamaa pesa zake.

By the way kwangu mimi nisingeweza kumdai kwa maana siwezi kudai ila kwa kuwa jamaa ana uwezo wa kudai acha adai maana ni sahihi pia kwa nafsi yake ionavyo.
 

yale yale ya kanunua cm
kampa demu, walipoachana kampokonyaaaa!!
haloooo!! jamaa kachemsha!!
 
I sawa kabisa, maana huyo msichana kajifanya mtoto wa mjini acha na mwenzake pia aonyeshe ya kuwa anaweza react kwa kiwango chake. Hiyo itampunguzia machungu kiasi huyo rafiki yako.

N.B : Though mimi siwezi kufanya huo ukauzu alioufanya jamaa.

Huyu jamaa ni kauzu zaidi ya dagaa lol!
 
mmhhh jamani wanaume mmeumbwa na koromeo la nini kama hata uvumilivu hakuna , hivi alimpenda kweli huyo binti au ndo zile nakupa nikikupata utajuutaaaaaaa na kulipia,

kama alitoa kwa mapenzi hakuna mkataba wa maandishi wa kurudishiana hapo, awe tu mstaarabu na kwanza ameenda kwa wazazi wa binti kama nani, alishakua officially mchumba au ndo dharau tu kwa wazazi wa mabinti

We kama umezoea kula hela za jamaa kama hawa ndo uache, maana kuna siku watakuaibisha kwenu. Halafu kwanini uombe ombe hela kama huna mpango wowote na mtu. Saa nyingine huwa mnajitakia.

Note: Hii haina maana kwamba naunga mkono alichofanya huyu jamaa. Kifupi hawa wote ni vilaza.
 
Mkuu ukisoma maelezo ya jamaa ni kwamba walikubaliana kuwa wapenzi, na msichana akamwambia hayuko tayari kutoa papuchi mpaka watakapoidhinishwa, Ghafla msichana kabadilika na kumtosa jamaa, kama ni wewe ndio mwanamume utafurahia kufanywa zoba.? Yaani hapo kama ni mahakamani hakimu angesoma hukumu ya namna hii:
"kwa kuwa mwanamke huyu alitumia ulaghai ili ajipatie pesa za matumizi toka kwa mwanamume huyu, namhukumu huyu mwanamke kulipa faini na gharama za mwanamume ili iwe fundisho kwake na kwa watu wa aina yake. "
haposiyo liwe fundisho kwa watu wa namna hii nikwamba liwe fundisho kw wanawake wey tabia hii...!
 
Tatizo la kupenda wanaume wasiojiamini hata wao wenyewe
 
Tena huyo dada ashukru Mungu amemuepusha na huyo gumegume, huyo sio mwanaume ila ni mwanaume suruali, mwanaume kamili hadai hela hata kama kakununulia gari sembuse hivyo vijisenti vya msosi,. Hakianani huyo mtu angemsumbua mbeleni hafai kabisa. Si atongoze dada ake kama anaona hasara kuwapa mabinti wa watu hela? Ushamba unamsumbua huyo
 
Mi ndio maana sitaki kabisa mambo ya kuomba omba pesa ya mwanaume..!

Mdada una kazi yako unaendekeza kuomba omba..! Mmmh..!

kweli kabisa
vitu vingine kujiabisha,kuna watu wanajiendekeza sana ila na huyo mwanaume ni wa aina yake kha!ni shida,maumivu au pepo lol
kulikuwa na contract?maana kuwafuata wazazi kwani ni mashahidi au?
 
kweli kabisa
vitu vingine kujiabisha,kuna watu wanajiendekeza sana ila na huyo mwanaume ni wa aina yake kha!ni shida,maumivu au pepo lol
kulikuwa na contract?maana kuwafuata wazazi kwani ni mashahidi au?

Hapo most likely itakuwa ni maumivu ya kufanywa poyoyo na si kingine.
 
biaches biaches biaches always have been always will be...find f.uck forget.
 
mbona mjini kuna mambo,jaani hii dunia ina mambo toka kitambo,plazameni chupuchupu kupewa kisago kakopa kulipa kawaq mbogo by DOGO DITTO
 
sasa umeambiwa jamaa hakula kitu alipie huduma gani tena? Ndo maana mimi huwa siwez kutumia na demu zaidi ya buku mbili mpaka nikisha mlaza kibra...ingekuwa mi ningedai na riba!

Hahahahahhaa.....buku mbili?Mkuu hata chambo hutangulizi?...anyway jamaa nilikuwa namtania tu ila ishu kama hizo zinaudhi.Ni utapeli wa moja kwa moja huo.
 
Back
Top Bottom