Mwanamke kudaia arudishe pesa

Mwanamke kudaia arudishe pesa

. Baada ya mda alimuuliza huyo msichana kama yuko na mtu, msichana akasema yuko pekee yake (Single). Basi jamaa akatupa karata yake.

Yule msichana akasema yeye ameokoka na anapenda kuenenda katika mapenzi ya kimungu.
Basi rafiki yangu alifurahi sana kukutana na huyo binti, akauliza wapi anakosali, bila kusita msichana akaeleza anasali wapi.

Jumapili moja jamaa yangu akaibukia kanisani na kuona kweli anasali pale, akamtamburisha kwa baadhi ya ndugu zake.

Baada ya muda fulani yule binti akaaza kuwa anaomba pesa. Ok bila kusita jamaa akawa anampa hizo pesa (mara anataka kusuka, anataka kununua viatu, hela ya chakula cha mchana na mengine). "Huyu dada amesoma na ana digrii pia anafanya kazi"

Mkuu kaka' akuna makubaliano ya kuwa wapenzi aliuliza tu na baadaye akajipeleka kanisani akatambulishwa kwa ndugu basi ....
 
Ndio akome kuishi kwa kuombaomba na ajifunze kuheshimu mahusiano, wewe unaona alichokifanya huyo mwanamke mwenzenu ni sawa.? Hapo tayari fedheha imekwishawakuta ndugu zake na wazazi wake.

Wamekwishatambulishana mpaka kutambulishana kwa ndugu, halafu anakuja kukiuka makubaliano waliyowekeana, wewe unadhani ni sawa.?

aende zake huko alitambulishwa kwa wazazi kama nani, c hata barua angepeleka na mahri basi tupate kumtetea, asitukaushe mate kwa kushauri kwenye hamna, ana ushahidi????????????????????//
 
umekula vya kwangu, utanibeba leo
kanunua simu kampa dem, walivyoachana kampokonya
jamani tuwe tunaangalia wanaume wa kudate nao lol

Hahaahahaaaaa...! Na pia msipende kutangazatangaza shida ovyo kwa wanaume, sometimes mujifunzege kuvumilia hata kidogo, Lol..! Ona sasa sijui alijitetea vipi kwa wazazi wake.?
 
Ndio akome kuishi kwa kuombaomba na ajifunze kuheshimu mahusiano, wewe unaona alichokifanya huyo mwanamke mwenzenu ni sawa.? Hapo tayari fedheha imekwishawakuta ndugu zake na wazazi wake.

Wamekwishatambulishana mpaka kutambulishana kwa ndugu, halafu anakuja kukiuka makubaliano waliyowekeana, wewe unadhani ni sawa.?

hata mikataba huwa inavunjwa........
sembuse makubaliano tena ya kuwa wapenzi

kuwa wapenzi is not a guarantee that mtaingia
ktk marriage......,
 
aende zake huko alitambulishwa kwa wazazi kama nani, c hata barua angepeleka na mahri basi tupate kumtetea, asitukaushe mate kwa kushauri kwenye hamna, ana ushahidi????????????????????//
Ndugu pole sana, wazazi tayari wamekubali watalipa. Ila nyie wanawake muwe makini kuna watu makauzu zaidi ya dagaa.
 
hata mikataba huwa inavunjwa........
sembuse makubaliano tena ya kuwa wapenzi

kuwa wapenzi is not a guarantee that mtaingia
ktk marriage......,
Je basi pesa za jamaa zipotee tu? na kwa nini hataki kuongea na jamaa amweleze na ananza vitu vya ajabu?
 
Ndugu pole sana, wazazi tayari wamekubali watalipa. Ila nyie wanawake muwe makini kuna watu makauzu zaidi ya dagaa.

wazazi wamekubali koz wamemuona mjinga huyo rafikiyo na wanamuepusha mtoto wao kuendelea kufuatiliwa na unmatured man
 
Je basi pesa za jamaa zipotee tu? na kwa nini hataki kuongea na jamaa amweleze na ananza vitu vya ajabu?

afu nahisi kama wewe hivi, hahahahhahhahha, kama nakuona vile mbelel ya wazazi wa binti ukiomba urudishiwe pesa
 
Mkuu kaka' akuna makubaliano ya kuwa wapenzi aliuliza tu na baadaye akajipeleka kanisani akatambulishwa kwa ndugu basi ....

Kaka hapa tatizo ni kwamba msichana hataki suruhu. Jamaa kamuomba mara kibao wasuruhishe hataki hata kuonana nae.
Je kama wewe unge fanya nini?
 
wazazi wamekubali koz wamemuona mjinga huyo rafikiyo na wanamuepusha mtoto wao kuendelea kufuatiliwa na unmatured man
Kwahiyo alicho kifanya binti huyo ni sahihi?
 
hata mikataba huwa inavunjwa........
sembuse makubaliano tena ya kuwa wapenzi

kuwa wapenzi is not a guarantee that mtaingia
ktk marriage......,

Huyo dada alikuwa akimuomba hizo pesa huyo mwanamume kama nani yake.? Yes mkataba umevunjika, na jamaa anadai pesa zake kwa kuwa mkataba umevunjika.
 
To catch a woman is an art,to hold onto her(as a wife) is a job.....jamaa aliona kumwaga mihela ndo kujihakikishia ushindi!...lol!....mimi nasema asirudishiwe hata senti tano..
 
wazazi wamekubali koz wamemuona mjinga huyo rafikiyo na wanamuepusha mtoto wao kuendelea kufuatiliwa na unmatured man

Sio kwa sababu wamemuona mpuuzi, ila kwa sababu mtoto wao amekiuka makubaliano aliyokubaliana na mwenzake. Tuongee Facts, wewe unaona huyo binti alichokifanya ni sahihi kabisaaa....! Weka ushabiki pembeni.
 
Huyo dada alikuwa akimuomba hizo pesa huyo mwanamume kama nani yake.? Yes mkataba umevunjika, na jamaa anadai pesa zake kwa kuwa mkataba umevunjika.

Kama mpenzi .....

what she did was right I mean kuachana..

Sema she failed to be straight tu kwa huyo jamaa!!!!!
 
....mapenzi ya hela ndo hayooo.....ucha mungu u moyoni mwa mtu na sio kwa kuongea na kujitangaza....
 
Kafanya uungwana sana huyo jamaa je angelipiza kisasi kwa namna nyingine ingekuwaje? Mshawahi kujiuliza kashfa kubwa za mapenzi magazetini kwenye media chanzo chake nini??? Uungwana ni vitendo huu ni uungwana wa kudai gharama za maumivu ya kihisia.
 
aende zake huko alitambulishwa kwa wazazi kama nani, c hata barua angepeleka na mahri basi tupate kumtetea, asitukaushe mate kwa kushauri kwenye hamna, ana ushahidi????????????????????//

Yap anaweza asiwe na ushahidi unaoonekana kwa watu, Lakini kumbuka akili za binadamu zinatofautiana, katika situation hiyo mwingine anaweza hata kumdhuru huyo msichana na akajitolea litakalokuwa na liwe. Hapo sijui kama suala la kuulizana kama ana ushahidi litakuwa na nafasi wakati binti atakuwa amekwishadhurika tayari. Point ipo palepale, katika maisha ya kawaida ukitaka ishi na watu vizuri huna budi kuheshimu makubaliano uliyoyaridhia kwa nafsi yako.
 
Sio kwa sababu wamemuona mpuuzi, ila kwa sababu mtoto wao amekiuka makubaliano aliyokubaliana na mwenzake. Tuongee Facts, wewe unaona huyo binti alichokifanya ni sahihi kabisaaa....! Weka ushabiki pembeni.

Sio ushabiki , kuna makubaliano gani ya kua wapenzi yakahusisha wazazi , hiyo ya wapi hiyo, kwanza cpati picha amewezaje kwenda kwa wazazi wa binti
 
Back
Top Bottom