Mwanamke kudaia arudishe pesa

Mwanamke kudaia arudishe pesa

hata mikataba huwa inavunjwa........
sembuse makubaliano tena ya kuwa wapenzi

kuwa wapenzi is not a guarantee that mtaingia
ktk marriage......,

Ni kweli kwamba wapenzi sio lazima mfike hali ya kuoana,Ila makubaliano huwa yanavunjwa katka hali ya kuridhiana.(namaanisha kuwe na taarifa zenye hoja za msingi kwa upande wa pili ktk utaratibu ambao sio wa Kikauzu).Alichofanya mwanamke ni Ukauzu,.Mwanaume anachofanya ni kumuelimisha huyo mwanamke kwa tabia yake kwa siku zijazo. Mwanamke alitakiwa kuongea nae kuhusu maamuzi yake ya kutaka kuachana nae na sio kufanya maamuzi ya dharau bila kuonesha dalili za kumkataa ktk hali ya busara.Kiujumla huyo mwanamke amejifunza kitu.
 
Back
Top Bottom