Suprise
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 2,696
- 1,063
Yap anaweza asiwe na ushahidi unaoonekana kwa watu, Lakini kumbuka akili za binadamu zinatofautiana, katika situation hiyo mwingine anaweza hata kumdhuru huyo msichana na akajitolea litakalokuwa na liwe. Hapo sijui kama suala la kuulizana kama ana ushahidi litakuwa na nafasi wakati binti atakuwa amekwishadhurika tayari. Point ipo palepale, katika maisha ya kawaida ukitaka ishi na watu vizuri huna budi kuheshimu makubaliano uliyoyaridhia kwa nafsi yako.
kwani makubaliano ya ,mapenzi nayo ni mkataba wa kudumu, wewe mwenyewe huwez waza hicho allichofanya huyo mwanaume mwenzenu