- Thread starter
- #41
What an idiot? Umekimbilia JF kupata ushauri. Mbona husemi kama ulimuuliza mkeo anachofanya na kutuambia hadithi aliyokueleza unaleta habari nusu nusu. Ndio umbeya wenyewe huo, kama unampenda mkeo ungeleta hilo jambo hapa kwenye mkeka? Tena unasema anamtuma dreva yaani wewe ni tajiri sana asubuhi subuhi tu una dreva wa kukufanyia maswala yako binafsi? Watanzania hawawezi kuendelea kutokana na kasumba ya kujifanya wana pesa wakati ni masikini wa kutupwa, ati una gari na kuajiri dreva then unalalamika na pesa za peremende stupid kabisa. Grow up!
huwez kumshauri mtu bila matusi?(IDIOT,STUPID) au unafikiri mm sijui matusi ya kiingereza ?
Dereva sijamajiri mm ameajiriwa na shirika mm ananiendesha tu na nilifanya vile kwakuwa natambua yule ni mzazi wangu pia.halafu hapa mm si lalamikii pesa na lalamikia tabia ya mke wangu siku nyingine usome kwa makini kama hujaelewa acha usichangie had unatukana ningekurudishia matusi pia lakin basi haina maan