Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,953
- 49,704
Kila mwanamke ili atulie kabisa,anaitaji wanaume wa aina tatu.
1.Anaeujaza moyo wake,yaani hata akinywa maji anamuona mwanaume anaempenda yaani wanaita true love wake
2 .Mwanaume muhongaji wenyewe wanaita buzi yaani buzi linaclear majanga yote incase of emergency miamala inasomeka fastafasta Mpesa ATM etc.
3.Mume wa kumuweka ndani na kulea watoto wa kumpa home nadhani naeleweka kila mwanamke anatamani ajulikane nae kwa mama fulani kwa mama fulani kutokana na hali ya maisha inakuwa ngumu mwanaume mwenye sifa zote hizo kupatikana akipatikana namba moja utakuta hana hata mia na mpango wa kuoa hana wala nini.
Akipatikana namba mbili unakuta hapendwi wala sio muoaji ila na mtu kukataa misaada na hali ya uchumi ilivo nayo sio rahisi akipatikana mume nae unakuta majanga hapendwi mtu kaamua kuolewa tu umri unasonga nk, ila hela hana hata ada ya watoto ni kwa msaada wa vicoba kwa jina la mama inabidi tu mama awe na namba mbili,buzi la kumsaidia.Nawashauri wanaume mjipange sana mkiwajibika wanawake wote watatulia hawatakuwa michepuko tena ni aibu sana baba upo ndani na mkeo kumbe ni mchepuko wa mtu!
Wekend njema jamani.Ramadhan kareem!