Kama ilivyo ngumu kwa Mzee kipanda mlima ndivyo ilivyo kwa mwanamke kumpenda mwanaume asiye na hela

Head Gelo

Senior Member
Oct 7, 2018
122
210
Naandika baada ya kufanya uchungu wa kina Sana

Wapendwa tukiacha Yale mapenzi ya sekondari ,tukaja kwenye utu uzima yaani kuanzia miaka 27+ Ni ngumu sana kwa mwanamke kumpenda mwanaume asiye na hela( jamani mtanipiga mawe mtasema sijui vipi lakini ukweli Ni kwamba Ni ngumu kumpenda mwanaume ambaye Hana uwezo hata wa vocha)

Mwanaume ambaye hawezi hata kukusaidia elfu 20 ya kusukia ebo Mara moja moja

Mwanaume ambaye awezi kukurushia hata buku mbili ukaungia kifurushi Cha chuo
Mwanaume ambaye ukimtext baby sijanywa tea anashindwa kukutumia hata buku tano

Mwanaume wa hivi kupendwa Ni ngumu sana
Mwanamke akiwa amejitosheleza kiuchumi hapo anaweza kumchukua mwanaume hata Kama Hana uwezo kwa sababu anakuwa amebakiza hitaji la kihisia

WANAUME TAFUTENI PESA ,OVA
 
Sijui umefanya wapi uchunguzi wako ila nahisi umefanya uchunguzi wako kwa wanafunzi wanaosoma vyuoni.
 
Kwa Tanzania na Africa nakubaliana na wewe 100% ,ndio maana siku zote nasema MIMI NA UZAO WANGU TUTAOA WAHINDI.
Note:sio kwamba Africa hakuna wanawake wenye mapenzi ya kweli(one in a million) ,ila ukiwa na mwanamke kama mleta mada jiandae kufa kwa degedege.
 
Naandika baada ya kufanya uchungu wa kina Sana

Wapendwa tukiacha Yale mapenzi ya sekondari ,tukaja kwenye utu uzima yaani kuanzia miaka 27+ Ni ngumu sana kwa mwanamke kumpenda mwanaume asiye na hela( jamani mtanipiga mawe mtasema sijui vipi lakini ukweli Ni kwamba Ni ngumu kumpenda mwanaume ambaye Hana uwezo hata wa vocha)

Mwanaume ambaye hawezi hata kukusaidia elfu 20 ya kusukia ebo Mara moja moja

Mwanaume ambaye awezi kukurushia hata buku mbili ukaungia kifurushi Cha chuo
Mwanaume ambaye ukimtext baby sijanywa tea anashindwa kukutumia hata buku tano

Mwanaume wa hivi kupendwa Ni ngumu sana
Mwanamke akiwa amejitosheleza kiuchumi hapo anaweza kumchukua mwanaume hata Kama Hana uwezo kwa sababu anakuwa amebakiza hitaji la kihisia

WANAUME TAFUTENI PESA ,OVA
Ndio maana siku izi aipiti week ukiombwa papuchi unasema mwanaume Malaya ndio maana mabaharia siku tunagonga one night stand tuna departure hao
 
Naandika baada ya kufanya uchungu wa kina Sana

Wapendwa tukiacha Yale mapenzi ya sekondari ,tukaja kwenye utu uzima yaani kuanzia miaka 27+ Ni ngumu sana kwa mwanamke kumpenda mwanaume asiye na hela( jamani mtanipiga mawe mtasema sijui vipi lakini ukweli Ni kwamba Ni ngumu kumpenda mwanaume ambaye Hana uwezo hata wa vocha)

Mwanaume ambaye hawezi hata kukusaidia elfu 20 ya kusukia ebo Mara moja moja

Mwanaume ambaye awezi kukurushia hata buku mbili ukaungia kifurushi Cha chuo
Mwanaume ambaye ukimtext baby sijanywa tea anashindwa kukutumia hata buku tano

Mwanaume wa hivi kupendwa Ni ngumu sana
Mwanamke akiwa amejitosheleza kiuchumi hapo anaweza kumchukua mwanaume hata Kama Hana uwezo kwa sababu anakuwa amebakiza hitaji la kihisia

WANAUME TAFUTENI PESA ,OVA

Ndio maana wanasema hakuna mwanamke asiyejiuza, kila mwanamke ni malaya na anajiuza ila njia wanazotumia ndio zinatofautiana.
 
Kweli kabisa.
Hata hivyo ndio maana hakuna mwanaume anampenda mwanamke ili amweke ndani,zaidi tunapenda kugonga gonga hodi,tunafunua tunafunika tunahamia mitaa mipya mingine,ni kama gazeti tu,hakuna kulisoma lote.
 
Naandika baada ya kufanya uchungu wa kina Sana

Wapendwa tukiacha Yale mapenzi ya sekondari ,tukaja kwenye utu uzima yaani kuanzia miaka 27+ Ni ngumu sana kwa mwanamke kumpenda mwanaume asiye na hela( jamani mtanipiga mawe mtasema sijui vipi lakini ukweli Ni kwamba Ni ngumu kumpenda mwanaume ambaye Hana uwezo hata wa vocha)

Mwanaume ambaye hawezi hata kukusaidia elfu 20 ya kusukia ebo Mara moja moja

Mwanaume ambaye awezi kukurushia hata buku mbili ukaungia kifurushi Cha chuo
Mwanaume ambaye ukimtext baby sijanywa tea anashindwa kukutumia hata buku tano

Mwanaume wa hivi kupendwa Ni ngumu sana
Mwanamke akiwa amejitosheleza kiuchumi hapo anaweza kumchukua mwanaume hata Kama Hana uwezo kwa sababu anakuwa amebakiza hitaji la kihisia

WANAUME TAFUTENI PESA ,OVA
au sio basi tumekusoma
 
Kwa Tanzania na Africa nakubaliana na wewe 100% ,ndio maana siku zote nasema MIMI NA UZAO WANGU TUTAOA WAHINDI.
Note:sio kwamba Africa hakuna wanawake wenye mapenzi ya kweli(one in a million) ,ila ukiwa na mwanamke kama mleta mada jiandae kufa kwa degedege.
Weeh kuna watu wenye tamaa kama wahindi acha kabisa babu g labda huwafahamu..tena wanataka mambo safi nyakati zote..
 
Kati ya wanawake Wahindi 100 tisini wana mapenzi ya dhati,kati ya wanawake Waafrica 100 unaweza usimpate hata mmoja mwenye mapenzi ya dhati.
Kwa taarifa yako India ndicho kisima cha mapenzi ya dhati hapa duniani na kila mtu mwenye akili timamu analijua hili.
 
Unacheki sana movie za kihindi adi unajikuta sanjdat
Mtanzania haitaji kutumia bongo movie kuthibitisha uhalisia wa Watanzania,WHY? because he knows them inside-out.
The same to me sihitaji ushahidi wa Bollywood kuthibitisha hiki ninachokisema kuhusu true love in relation to India,the reason is as explained above.
Good night country man.
 
Kwa Tanzania na Africa nakubaliana na wewe 100% ,ndio maana siku zote nasema MIMI NA UZAO WANGU TUTAOA WAHINDI.
Note:sio kwamba Africa hakuna wanawake wenye mapenzi ya kweli(one in a million) ,ila ukiwa na mwanamke kama mleta mada jiandae kufa kwa degedege.
I second u
 
Kati ya wanawake Wahindi 100 tisini wana mapenzi ya dhati,kati ya wanawake Waafrica 100 unaweza usimpate hata mmoja mwenye mapenzi ya dhati.
Kwa taarifa yako India ndicho kisima cha mapenzi ya dhati hapa duniani na kila mtu mwenye akili timamu analijua hili.
Sawa sharu khan msalimie akshay....wahindi wapenda pesa wana vijiba vya roho ya kwanini chukua hii...utakuja kuleta uzi hapa weeh haya...sharp
 
Back
Top Bottom