Mwanamke kama hujui kupika vizuri pole sana

Mwanamke kama hujui kupika vizuri pole sana

Kwani nini maana ya mke!!?? Ni mtu asiejua kupika kisa yeye sio chef!?
Mke ni mtu alieumbwa kutoka kwenye ubavu wa mwanaume ili awe MSAIDIZI. Msaidizi maana yake anakusaidia, kama anakusaidia maana yake fanya wewe utakapohitaji msaada atakusaidia, kwahiyo pika mwenyewe ukikwama mke ndio akusaidie.....ndugu yangu soma maandiko 😁
 
Mke ni mtu alieumbwa kutoka kwenye ubavu wa mwanaume ili awe MSAIDIZI. Msaidizi maana yake anakusaidia, kama anakusaidia maana yake fanya wewe utakapohitaji msaada atakusaidia, kwahiyo pika mwenyewe ukikwama mke ndio akusaidie.....ndugu yangu soma maandiko [emoji16]
Hahahah!!! Kwa hiyo ndio sababu inayofanya mtupikie mnavyojua nyie, c ndiyo!!
 
Kigoma nifate nn, me wa dsm
Sawa mf. Ukanipenda halafu sasa tunaanza mawasiliano so ukianza mtu mawasiliano naye lazima mufaamiane sasa unatoka A town unakuja dsm awee hii ni bongo ila bado mbali mshkaji wangu wa ukweli unayetaka k mnato na mapishi matamu unahela ??

Wajuzi wajitose maana kitaa wapo ila inaonekana hujawasoma fresh unachapa tu mzigo na wanasepa .
 
Hahahah!!! Kwa hiyo ndio sababu inayofanya mtupikie mnavyojua nyie, c ndiyo!!
Ndio, kwahiyo we jipikie utakapoishia ndio utasaidiwa.... kwahiyo bila shaka utajipikia ile kitu roho yako inapenda.
 
Wakijua kupika mtasema wachafu hawajui kusafisha jiko vizuri
Na wakiweza kusafisha mtasema hawajitumi kitandani!
Sijajua wanaume satisfaction yao iko wapi as wanadhani wanawake ni kama robot flani hivi ambae hatakiwi kuchoka!
 
Ktk vitu ambavyo havizubaish moyo wng bc moja wapo ni kula ikifika ile skuku ya Eid kwa cc waislam huanda vyakula telee ila muishia kula adaz la kupambia mkate wa mayai na supu bc hivyo vyengin vyote sigusi mpk watu wot hunishangaa
 
Wakijua kupika mtasema wachafu hawajui kusafisha jiko vizuri
Na wakiweza kusafisha mtasema hawajitumi kitandani!
Sijajua wanaume satisfaction yao iko wapi as wanadhani wanawake ni kama robot flani hivi ambae hatakiwi kuchoka!
Unatakiwa ujitahidi kila mahali
 
Back
Top Bottom