martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 864
- 1,464
Habari waungwana,
Binafsi naona itakuwa changamoto kwenye ndoa yangu endapo itatokea nitaoa mwanamke asiyejua kupika.
Inawezekana suala hili likaonekana la kawaida ila kwangu ni suala lenye uzito sana. Mwanamke unapokuwa na uwezo mdogo kwenye kupika, ni mbaya kwani unapelekea kupunguza mapenzi kwa mwenzi wako ndani ya ndoa, makasiriko, migogoro ya mara kwa mara na hata kuvunjika kwa ndoa.
Binafsi mimi siwezi ishi na aina hii ya mwanamke, sitarajii kuoa aina hii ya mke, naamini nastahili kupata vizuri na vitamu kwa mke wangu na si vyakula vya ajabu au vibaya.
Na pia wanaume jaribuni kuwachunguza wanawake mnaotaka waoa kwenye suala zima la upishi maana kuna wanawake hawajui pika vizuri na hii ni changamoto kwenye ndoa zenu.