Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,941
- 31,910
Ukiambiwa upike chapooo we unapika mkate wa Yesu 😀😀😀December niende kwa mama nikajifunze kupika chapati za kusukuma 🤣🤣
Ukiambiwa upike chapooo we unapika mkate wa Yesu 😀😀😀December niende kwa mama nikajifunze kupika chapati za kusukuma 🤣🤣
Je utaoa mke mwenye bwawa na anajua kupika 😂😛Habari waungwana,
Binafsi naona itakuwa changamoto kwenye ndoa yangu endapo itatokea nitaoa mwanamke asiyejua kupika.
Inawezekana suala hili likaonekana la kawaida ila kwangu ni suala lenye uzito sana. Mwanamke unapokuwa na uwezo mdogo kwenye kupika, ni mbaya kwani unapelekea kupunguza mapenzi kwa mwenzi wako ndani ya ndoa, makasiriko, migogoro ya mara kwa mara na hata kuvunjika kwa ndoa.
Binafsi mimi siwezi ishi na aina hii ya mwanamke, sitarajii kuoa aina hii ya mke, naamini nastahili kupata vizuri na vitamu kwa mke wangu na si vyakula vya ajabu au vibaya.
Na pia wanaume jaribuni kuwachunguza wanawake mnaotaka waoa kwenye suala zima la upishi maana kuna wanawake hawajui pika vizuri na hii ni changamoto kwenye ndoa zenu.
Ni sawa na kutoa engine na kuweka body,Je utaoa mke mwenye bwawa na anajua kupika [emoji23][emoji14]
Unahela au nikujishauaNi sawa na kutoa engine na kuweka body,
Ni vizuri awe na k mnato na mapishi ayaweze
Hakunaga kama huna hela halafu hun ushirikiano nani ajitume kwenye niniWanawake weng wabinafsi kwenye mapenz, wanapenda kuridhishwa wao tu hali kadhalika mwanaume ndio ajishughulishe kwenye tendo wao wakiwa wamelala tyu
Hahah!! Unaona sasa!!?Hakunaga kama huna hela halafu hun ushirikiano nani ajitume kwenye nini
Sema unatafuta humuHahah!! Unaona sasa!!?
Hela ya nin wakati utamu tunapeana wote!!!???
Au nafaid peke yangu!!!??
Kazi ipo mbona 🤣Chakula lazima kiwe na ladha nzuri baby Sis, lakini pia bila kupoteza virutubisho vyake vyote muhimu, nadhani hasa hicho ndicho cha kuzingatia..
Nisitafute mitaani nitafute JF, by the way hata akija sikatai niko singularSema unatafuta humu
Sio plural matured kutoa unique fulawa wapo humu wanahela wapo quteNisitafute mitaani nitafute JF, by the way hata akija sikatai niko singular
Kwa nini unajitoa sasa, na kwa nin sio Unique FlowerSio plural matured kutoa unique fulawa wapo humu wanahela wapo qute
Basi tu wapo mitaani ambao ninawaona sasa hapo mara upo kigoma hapo hakuna kituKwa nini unajitoa sasa, na kwa nin sio Unique Flower
Au unaogopa kupata wachawi [emoji16][emoji16][emoji16]Basi tu wapo mitaani ambao ninawaona sasa hapo mara upo kigoma hapo hakuna kitu