Mwanamke kama hujui kupika vizuri pole sana

Mwanamke kama hujui kupika vizuri pole sana

Kuna wanawake wengine ni changamoto ,inakuwaje mwanamke hajui kupika wakati ndio major function ya majukumu yake? Naunga mkono hoja m/ke ambaye hajui kupika hafai kuolewa ,raha ya kula ule ulichopikiwa na mkeo na si Mercury(Hg).
 
Leo mnataka wanajua kupika[emoji848], kila siku vigezo vinaongezeka.
 
Leo mnataka wanajua kupika[emoji848], kila siku vigezo vinaongezeka.
Ndio😂😂😂Jana tumesema mianamke yenye vichwa vidogo hamna kitu kichwani ...
 
He he he haloooooooooo mbona kupika.
 
Back
Top Bottom