Ibilisi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 3,465
- 5,586
Hawawezi hata kujifunza, njaa imewakamata pabayaWadada wangepita hapa wangepata cha kujifunza wakajiweka sawa.
But many do not like to be told the truth.
Hawawezi hata kujifunza, njaa imewakamata pabayaWadada wangepita hapa wangepata cha kujifunza wakajiweka sawa.
But many do not like to be told the truth.
Ndugu zako kule Sitinbi nao unakuwa umewasusia sh ngapi mkuu?Akitaka laki msusie laki 3 kisha futa no yake
Hilo ni nje ya madaNdugu zako kule Sitinbi nao unakuwa umewasusia sh ngapi mkuu?
Hivi kupiga mzinga kukoje? Maana mi mtu tusie na uhusiano hata kumuelezea shida zangu za kifedha siwezi.Hahaha makombora ya nyuklia na vifaru.
Kwangu iko tofauti sana, wanaonijulia naenda nao sawa. Kama tupo marafiki wa kawaida naweza kukusaidia sana tu. Sasa jidanganye kuvuka mipaka, hapo ndio mwisho kwa sababu itakua kama nna nunua, kitu amvacho sitaki kufanya.
Kosa ni pale mtu anapoomba msaada yeye anafikiri ananipiga mzinga kumbe unamsaidia kiroho safi. Lakini kuna wadada wanajielewa na kujitambua.
Hahahahaa. Bby kodi mara mama anaumwa naomba hela mara umeme umeisha naomba hela mara salon. Ilimradi tuKweli ni fundisho maana mtu mizinga kama kwao hali ana njaa ya fisi
Hivi kupiga mzinga kukoje? Maana mi mtu tusie na uhusiano hata kumuelezea shida zangu za kifedha siwezi.
Mada inahusu pesa na matumizi ya mwanaume, unawezaje kumpa kahaba mmoja (tena huenda ana HIV) laki 3 bila hata yeye kuwa ametoa hiyo papuchi?Hilo ni nje ya mada
ndo kazi kubwa waliyo nayo haswa ukimwambia nakupenda sana basi subiri baada ya masaa au siku inayofuata anakwambia nina shida naomba unisaidie anajua unampenda sana hutokataa kumbe hajui unamteka akili ili ujue akili yake ina mipaka ipi, ukimwambia nishugulikie isyo shida yako mwenyewe anakataa anataka umpe kesh. dah unajitoa taratibuwanawake siku izi bwana kama hakutaki anakupiga mzinga mmoja tu na namba yake utaifuta mwenyewe
ni technique nzuri kwao ila bora aseme tu hanitaki kuliko mzinga
Okay thanksMada inahusu pesa na matumizi ya mwanaume, unawezaje kumpa kahaba mmoja (tena huenda ana HIV) laki 3 bila hata yeye kuwa ametoa hiyo papuchi?
Dont take it seriously anyway..
Ukweli wakati ana njaa.Mwanamke akishakuomba hela ujue analika kiurahisi mtu mwenye msimamo atakwambia ukweli.
Naona wakipigwa na wanawake ndo inauma sana wakati na wao wanakua wanaangalia kula papuchi.Umeuliza swali la msingi sana, nafikiri itofautishwe kuomba na kuhonga, kuna wanaume wenzetu ukiona simu yake tu unaweza kujua shida ni nini hata kabla hajaongea.. Hiyo nayo inaitwa mizinga
Ukweli wakati ana njaa.
Nimecheka sana kwa kweliNi kweli kabisa mkuu utakuta mwanaume mwingine kila unavyomkataa hakuelewi unampa tu bomu la maana ahangaike nalo

AsanteeeHahaha makombora ya nyuklia na vifaru.
Kwangu iko tofauti sana, wanaonijulia naenda nao sawa. Kama tupo marafiki wa kawaida naweza kukusaidia sana tu. Sasa jidanganye kuvuka mipaka, hapo ndio mwisho kwa sababu itakua kama nna nunua, kitu amvacho sitaki kufanya.
Kosa ni pale mtu anapoomba msaada yeye anafikiri ananipiga mzinga kumbe unamsaidia kiroho safi. Lakini kuna wadada wanajielewa na kujitambua.
Cheka tu mkuu kuna wanaume ni ving'ang'anizi havijui kukataliwaNimecheka sana kwa kweli![]()
![]()
![]()
Ila ukipata muda uliza wenzako wale walio waona kinyaa mwanzoni badae wakaja olewa na hao hao. Aibu yao waliificha wapi.?Ni kweli kabisa mkuu utakuta mwanaume mwingine kila unavyomkataa hakuelewi unampa tu bomu la maana ahangaike nalo