bogosho
Senior Member
- Jan 5, 2018
- 151
- 354
- Thread starter
- #61
wanaume wa mikoani apo ndo wanashindwa kung'amua kujua hii hapana au ndio.... sie wanaume wa dar ndo tunapowashinda apo ndo mana wenzetu wa mikoani akipigwa mzinga anatoa tu sie wa dar nikiona mzinga najua uyu ananifukuza kijanja na mie kwakua sitoi hela kiboya nasepa zangu natafuta mteremko mwingine naanza mishe upyaa kama nimezaliwa janaUkiambiwa hapana ni hapana!!
Ila kuna hapana ambazo ni ndio, jiongeze!!
Hii ya kupiga mzinga ilinishinda aisee!!
