Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,857
- 89,753
KULALIANA KWENYE BASI SIPENDIHahaa. Umenikumbusha mbali mie majuzi nilisafiri basi nilipokaa pembeni yangu kuna mdada na bwana ake basi amemlalia mpaka wanashuka.
BAK,sijasema wasiwe huru,ila wacha iwe ni kawaida yako sio ufanye pale unapoona watu,ndio mara kiss mara una mkuna sikio mpaka unaona yule mwanamme hana amani,lakini kama mazowea walaaaaaaaaaaa,tena hua napenda ila iwe real..Mie sioni tatizo kwenye hili. Watu wawe huru na penzi lao kama ni kushikana viuno, kupeana busu etc.
Hahaaaa. Sema wewe mkuu.KULALIANA KWENYE BASI SIPENDI
hahaha,uko insecure? nakuelewa mwaya hapo umesema ukweli wako..Mi huwa nakua vile kwasababu ya viashiria fulani vibaya vya mwanamke mwingine juu ya mwanaume wangu
Nitajaribu kuacha lakinihahaha,uko insecure? nakuelewa mwaya hapo umesema ukweli wako..
Walikua wanakurusha roho etiHahaa. Umenikumbusha mbali mie majuzi nilisafiri basi nilipokaa pembeni yangu kuna mdada na bwana ake basi amemlalia mpaka wanashuka.
Hahahaaa. Huwezi amini hata sikurushika roho ila kwa upande wangu sa sijui mie mshamba sikuona kama ni sehemu sahihi.Walikua wanakurusha roho eti
BAK,sijasema wasiwe huru,ila wacha iwe ni kawaida yako sio ufanye pale unapoona watu,ndio mara kiss mara una mkuna sikio mpaka unaona yule mwanamme hana amani,lakini kama mazowea walaaaaaaaaaaa,tena hua napenda ila iwe real..
Uko vizuri. Ila ukikutana na hivi vipwente vyetu utakoma kudate navyo.Mmh. Sikurupukagi mwenyewe anajua. Yaani napenda ku observe kitu kwanza
Kiuhalisia hao wapenzi mmoja wao au wote wawili hawajiamini na wanajirusha roho wenyewe! Wee mwanaume humjui na hamjuani vipi wahisi kua unataka kumvutia? NNi uswahili flani hiviHahahaaa. Huwezi amini hata sikurushika roho ila kwa upande wangu sa sijui mie mshamba sikuona kama ni sehemu sahihi.
Ila ndio hivyo tunatofautiana namna tulivyolelewa.
Hahaaaa. Utawaweza watu wa humu kila mmoja akili zake anazijua mwenyewe.Kiuhalisia hao wapenzi mmoja wao au wote wawili hawajiamini na wanajirusha roho wenyewe! Wee mwanaume humjui na hamjuani vipi wahisi kua unataka kumvutia? NNi uswahili flani hivi
Kwanini??Uko vizuri. Ila ukikutana na hivi vipwente vyetu utakoma kudate navyo.
HahaHata usiache mwenzangu,wengine wanajitia ooh sikujua kama ana mtu. Watajuaje kama anae.
Ila tu sio kila sehemu,inategemea na mazingira.
Mfano there is a day tulienda
Kwenye harusi ya watu wa kwao huko,akakutana na rafiki zake wa utotoni. Kadada kamoja buana, nikaona wanakutana,kam hug then kamkiss mashavuni akawa anamtambulisha kwa wale aliokuja nao,the man akawa ametulia tu.That girl alikuwa anamu hug my man kuvuka mipaka,na makiss kiss yaliyo pitiliza nikataka ninyanyuke nimfate but my patience was on line.
Baada ya muda naona hao,wakati wanakuja bidada kamshika mkono,wamefika pale akamuegemea begani mkono kamshika siju pale ni kifuani au tumboni, analeta uzungu nivutie kiti basi nikae karibu na wewe,akavutiwa kiti still ana muegemea begani hata alipo kaa![]()
![]()
![]()
akaambiwa meet my girl maserati,aisee kama alipigwa na shot kutoa kichwa pale kwenye bega akawa ananishangaa hata alivo nisalimia like hana nguvu,aisee mbwembwe za kurekebisha kora yake na kumuweka shati sawa mara nimshike bega zilitake place kwa upande wangu,plus mwenyewe kaongezea anishike mkono wangu auminye minye adabu ilikuwepo.
Inabore but inatibu.
Cc mtoto mzuri mwenzangu emmyta.
Kwanza hongera kwa uvumilivu huo ulioonyesha,sipati picha yaniHata usiache mwenzangu,wengine wanajitia ooh sikujua kama ana mtu. Watajuaje kama anae.
Ila tu sio kila sehemu,inategemea na mazingira.
Mfano there is a day tulienda
Kwenye harusi ya watu wa kwao huko,akakutana na rafiki zake wa utotoni. Kadada kamoja buana, nikaona wanakutana,kam hug then kamkiss mashavuni akawa anamtambulisha kwa wale aliokuja nao,the man akawa ametulia tu.That girl alikuwa anamu hug my man kuvuka mipaka,na makiss kiss yaliyo pitiliza nikataka ninyanyuke nimfate but my patience was on line.
Baada ya muda naona hao,wakati wanakuja bidada kamshika mkono,wamefika pale akamuegemea begani mkono kamshika siju pale ni kifuani au tumboni, analeta uzungu nivutie kiti basi nikae karibu na wewe,akavutiwa kiti still ana muegemea begani hata alipo kaa![]()
![]()
![]()
akaambiwa meet my girl maserati,aisee kama alipigwa na shot kutoa kichwa pale kwenye bega akawa ananishangaa hata alivo nisalimia like hana nguvu,aisee mbwembwe za kurekebisha kora yake na kumuweka shati sawa mara nimshike bega zilitake place kwa upande wangu,plus mwenyewe kaongezea anishike mkono wangu auminye minye adabu ilikuwepo.
Inabore but inatibu.
Cc mtoto mzuri mwenzangu emmyta.
U r right,Ni ngumu kujua kama ni kawaida yao au kwa vile wako mbele za watu. Wapenzi wengine wako hivyo kwenye penzi lao.