Mwanamke Jiamini..

Mwanamke Jiamini..

Hahaa. Umenikumbusha mbali mie majuzi nilisafiri basi nilipokaa pembeni yangu kuna mdada na bwana ake basi amemlalia mpaka wanashuka.
Hapo ni sawa na kama mwanamme yuko sawa na hiyo kuna wale ambao waume zao unawaona hawako sawa kabisaaaa..
 
Hata usiache mwenzangu,wengine wanajitia ooh sikujua kama ana mtu. Watajuaje kama anae.
Ila tu sio kila sehemu,inategemea na mazingira.

Mfano there is a day tulienda
Kwenye harusi ya watu wa kwao huko,akakutana na rafiki zake wa utotoni. Kadada kamoja buana, nikaona wanakutana,kam hug then kamkiss mashavuni akawa anamtambulisha kwa wale aliokuja nao,the man akawa ametulia tu.That girl alikuwa anamu hug my man kuvuka mipaka,na makiss kiss yaliyo pitiliza nikataka ninyanyuke nimfate but my patience was on line.

Baada ya muda naona hao,wakati wanakuja bidada kamshika mkono,wamefika pale akamuegemea begani mkono kamshika siju pale ni kifuani au tumboni, analeta uzungu nivutie kiti basi nikae karibu na wewe,akavutiwa kiti still ana muegemea begani hata alipo kaa akaambiwa meet my girl maserati,aisee kama alipigwa na shot kutoa kichwa pale kwenye bega akawa ananishangaa hata alivo nisalimia like hana nguvu,aisee mbwembwe za kurekebisha kora yake na kumuweka shati sawa mara nimshike bega zilitake place kwa upande wangu,plus mwenyewe kaongezea anishike mkono wangu auminye minye adabu ilikuwepo.
Inabore but inatibu.
Cc mtoto mzuri mwenzangu emmyta.
Sema una uvumilivu asee,mi nisingeweza kumuona anafanya yote alafu mi nimekaa tu naangalia
 
Yani hapo ndo unamuongezea hasira huyo mwanamke ya kumnyakua mwanaume wako..Na siku akimtia kwenye 18 zake utajuta
Hiyo nafasi ya kumpata kwenye 18 zake wala hawezi kuipata...kabisa
 
Its okay kama ndio routine yako na wala huyo mwanamme wako hatokua insecure mbele za watu,ila wale wanaofanya pale wanapoona wanawake wenzao sasa sielewi hua ni kutokujiamini au wasiwasi mwanamke mwenzie amamzidi hata sielewi..
Mi huwa nakua vile kwasababu ya viashiria fulani vibaya vya mwanamke mwingine juu ya mwanaume wangu
 
Mie sioni tatizo kwenye hili. Watu wawe huru na penzi lao kama ni kushikana viuno, kupeana busu etc.

Habari za leo waungwana,
Kuna baadhi ya wanawake hua tabia zao za ajabu sana,mfano unakuta yuko na mumewe au mwanamme wake,sio kawaida yake kumshika mwanamme wake mikono wala kiss wala hug mbele za watu,ila aone mwanamke mwenzie anavyo jihashua mara kamdokoa sikio,mara kampapasa
paja yanini yote hayo nani unamuonyesha?inaonekana wazi kua huyo mume haja zowea manake
mpaka mwanamme ana wasiwasi kama ame wacha mbuzi malishoni,mwanamme hana amani kabisaa na visa vyako ebu wacha vituko eeeeh....
 
Hata usiache mwenzangu,wengine wanajitia ooh sikujua kama ana mtu. Watajuaje kama anae.
Ila tu sio kila sehemu,inategemea na mazingira.

Mfano there is a day tulienda
Kwenye harusi ya watu wa kwao huko,akakutana na rafiki zake wa utotoni. Kadada kamoja buana, nikaona wanakutana,kam hug then kamkiss mashavuni akawa anamtambulisha kwa wale aliokuja nao,the man akawa ametulia tu.That girl alikuwa anamu hug my man kuvuka mipaka,na makiss kiss yaliyo pitiliza nikataka ninyanyuke nimfate but my patience was on line.

Baada ya muda naona hao,wakati wanakuja bidada kamshika mkono,wamefika pale akamuegemea begani mkono kamshika siju pale ni kifuani au tumboni, analeta uzungu nivutie kiti basi nikae karibu na wewe,akavutiwa kiti still ana muegemea begani hata alipo kaa akaambiwa meet my girl maserati,aisee kama alipigwa na shot kutoa kichwa pale kwenye bega akawa ananishangaa hata alivo nisalimia like hana nguvu,aisee mbwembwe za kurekebisha kora yake na kumuweka shati sawa mara nimshike bega zilitake place kwa upande wangu,plus mwenyewe kaongezea anishike mkono wangu auminye minye adabu ilikuwepo.
Inabore but inatibu.
Cc mtoto mzuri mwenzangu emmyta.
Hahaaa.. Assume asingekutambulisha akaamua kukaa kimya.?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom